oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Nkwande: Yaliyotokea Oktoba 29 ni fedhea kwa Taifa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi kimataifa. Akizungumza leo kwenye misa ya kuwaombea waliopoteza maisha kwenye vurugu zilizotokea wakati na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DC Ilala ahimiza ujenzi upya wa Ofisi zilizoharibiwa wakati wa Vurugu Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa. Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao wanaharamu kuzikwa kusikojulikana ili wapoteze ushahidi moyo wangu unavuja damu, vijana wadogo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemuuza Rasmi Mange Kimambi. Funguo rasmi ya udhibiti wa umma iliyoporwa Oktoba 29, inaenda kurudishwa

    Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa. Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea. Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi. Imeshafahamika, Wanapiga CURFEW Wanazima...
  6. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makambako; Wananchi wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya Watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo

    Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi. Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

    Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni. Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Watumishi wote wa Umma endeleeni kufanyia kazi nyumbani Oktoba 31

  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

    Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  14. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Sababu ya safari za mabasi kusitishwa siku ya kesho Oktoba 29,2025, na vipi kwa mtu aliyekata tiketi ya tarehe hiyo?

    Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao. Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa Mwisho Kwa Mzee Butiku kabla ya Oktoba 29 , Waombe Radhi Watanzania mara Moja, Walokupa Uenyekiti wa Maridhiano ,Warudishie !!

    We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!. Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo. Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi wasomi na Ma Prof wa Nchi hii?, Unapenda Uenyekiti ?? Uenyekiti wa malupulupu?? Sasa nakuhakikishia...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

    Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her? https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
  17. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nasaha kwa vijana kuelekea Oktoba 29

    Msikilize aliyekua kada wa CHADEMA akiwaonya vijana Tazama video hii jibuni hoja msimshambulie kijana ambaye anajielewa. https://www.facebook.com/share/v/16YHaW4dSB/?mibextid=wwXIfr
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z waamka na ratiba mpya ya maandamano Oktoba 29

  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
Back
Top Bottom