oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taratibu zisizoeleweka wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa zitukumbushe uhitaji wa 'reforms' kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba

    Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi. Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugu wana wa Tanzania, Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani Katika Halmashauri yako

    Ndugu wana wa Tanzania. Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani wa Katika Halmashauri yako. Nafasi za Udiwani ni nafasi muhimu sana katika Maendeleo ya Halmashauri yako. Katika Uanzishaji na Uibuaji Miradi na Uibuaji vyanzo Vya Mapato, Katika Usimamizi wa rasilimali fedha na rasilimimali...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aisapoti " OKTOBA TUNATIKI" eidha kwa kujua ama kutokujua

    Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe. Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE. NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbona kama upepo umebadilika tena? Oktoba Tunatiki kama wameshinda vile. NRNE kama imepoteza nguvu vile.

    Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile. Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu... Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza. Na Mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Let's wait and see
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  8. JamiiForums Tanzania Oktoba linda kura ni kauli mbiu inayoashiria uchochezi na uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi, waliotoa kauli hii wadhibitiwe haraka

    Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Debora Tluway: Hatusitishi Uchaguzi, Oktoba Lazima Tutiki

    DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Kishapu ajitokeza kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM Januari hadi Juni 2025, joto la kutetea kiti Oktoba linapanda

    Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2025 Kata ya Kishapu mbele ya...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi kupitia X ameandika Oktoba Tunatiki

  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche amesema wao Oktoba wanatiki

    Wakuu Je, ni kweli Heche amesema wao Oktoba wwanatiki?
  13. JamiiForums Tanzania Tutegemee matukio gani kujitikeza kuanzia sasa kuelekea Oktoba 2025?

    Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo. Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka hapo Oktoba? Cc: Tumia akili
  14. JamiiForums Tanzania Oktoba tunatiki chali kama Chaumma

    Daima HIARI YASHINDA UTUMWA... Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary! Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa baada ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  16. JamiiForums Tanzania No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

    Habari za jumapili; Kuna mgongano wa makundi mawili; Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi? Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini. Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yatoa onyo kali, yasema haitavumilia vurugu uchaguzi mkuu Oktoba

    Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu. Kauli hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lindi International University (LIU) kuzinduliwa Oktoba 2025

    Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga. Kozi zitakazotolewa, Undergraduate 1. Bsc Aquatic Science, 2. BA African Medicine, 3. BA Islamic Banking, 4. BA Sharia, 5. BA Econometrics, 6. BSc. Aeronautical Engineering, Postgraduate PhD in...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Watanzania tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…