ogopa

Ogopa Deejays are a Kenyan music production team and record label formed in the late 1990s who gained regional fame and popularity due to standards of their production work.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Ogopa sana Wala usijaribu

    Kuna taasisi za serikali, taasisi na kampuni binafsi zinazopenda Kupata idea in cheap way kutoka Kwa VIJANA Kwa kisingizio Cha mshindi WA kwanza, 2, 3 etc wametenga kiasi flani. Kuna VIJANA wanatoa idea zao kati ya vijana walioshiri mfano 1000, Kuna idea nyingi sana humo. Swali la kujiuliza...
  2. Tundusami

    Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

    Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati. Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  4. B

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
  5. ELI COHEN

    Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  6. Moto wa volcano

    Ogopa sana aina ya watu wanaozungumza na kila mtu

    Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo . Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule...
  7. Pdidy

    Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  8. Pdidy

    Ogopa kuzoeana na machawa wa maaskofu na wachungaji na manabii utakufa maskini

    Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two Washampanga...
  9. K

    Ogopa mkoloni mweusi

    Haya ndio maisha anayopitia Tundu lissu 2025. Hebu tujiulize na kufikiria hawa askari wa DRC walimuua mtu aliyewapigania wao na vizazi vyao. Hawa askari wa Mobutu wako wapi leo hii.
  10. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  11. britanicca

    Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

    Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon , 🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka Britanicca
  12. technically

    Ogopa Sana Mungu na technology

    Huyu Shekh kumbe ni kada mtiifu wa kijani kinondoni
  13. A

    Wallace Karia ondoa jina, Sauti za wengi ni ufunuo tosha.

    Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika. Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo? Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima. Au kwasab unajua...
  14. Tormenter

    Ogopa sana Dunia ikiamua kukufunza bila ada, unachokidharau kina Uhai wa Watu

    Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki.. Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile.. Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia.. Mkewe alipiga kelele akiwa nje, na kusema bado yupo pamoja na mumewe.. Yule rafiki yako mwanfunzi mburula...
  15. nzalendo

    Ogopa sana MACHOZI ya Binadamu

    Naam machozi....ni kwa muda mrefu sana nimefuatilia pasi kuwa na shaka,hakuna kitu hatari chini ya jua hili hili tunalolijua kama machozi ya binadamu naam hasa ya mtu mzima haijalishi ni mwanamke au mwanaume. Kiuhalisia machozi si lazima uone yale maji yanayotiririka toka machoni la...
  16. Tauceti Rigel

    Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  17. mkokamoto

    Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  18. A

    Ogopa sana kukutana na timu inayocheza 9-1 ambayo haina cha kupoteza.

    Narudia tena ni shughuli ngumu mno kufungua code za timu iliyoamua kupaki. Ni timu chache sana duniani zinazoweza shughuli hii. Na hata ukiweza kushinda basi ni kwa margin ya goli moja unless refa awe upande wako. Wapo makocha ulaya waliwahi kulalamikia mfumo huu ambao hauna umri mrefu katika...
  19. The patriot man

    Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  20. Msanii

    Yericko ogopa sana teknolojia. Njoo ujisahihishe hapa

    Yericko Nyerere Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli. Kisha soma na hii hapa Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda gani sasa?
Back
Top Bottom