ofisi

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Makame Mbarawa anafaa kuwa Waziri wa Nishati; Mwigulu Ofisi ya Makamu wa Rais, January Uchukuzi na Kimei waziri wa Fedha.

    Tumekwama sehemu si Kwa Sababu nyingine Bali Kwa Sababu ya overconfidence na kuwa na viongozi wanaowaza zaidi urais kuliko uwaziri. Kwa lengo la kuweka Sawa upepo na kuboresha utendaji nadhani mabadiliko haya yatakuwa na tija Kwa kiasi flani. 1. Waziri wa Fedha - Mzee Kimei 2. Waziri wa Nishati-...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shaka amkabidhi Sophia Mjema ofisi ya Itikadi na Uenezi

    Makabidhiano yamefanyika Lumumba. Hongera shaka kwa kukabidhi ofisi kwa amani, zinazofuata ni picha za makabidhiano ya ofisi. Hapo ndugu Shaka akitabasamu kwa bashasha bila tashwishwi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Ludewa

    OFISI YA MBUNGE JIMBO LA LUDEWA Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ludewa - Joseph Kamonga

    Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) walio fanya ziara ya kikazi ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Ofisi - Moshi Kilimanjaro

    Kazi: Msimamizi wa Ofisi Mahali: Moshi - Kilimanjaro Majukumu Kusimamia shughuli za ofisi Kutunza hesabu za ofisi Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali Sifa Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B' Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Singida Big Stars ni kweli Ofisi za Klabu yako iko WhatsApp na katika Briefcase kama inavyoripotiwa?

    Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nioneshe ofisi yenye weledi wa kimataifa nami nikuoneshe kuku mwenye mwanya

    Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma. Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wapandishwa kizimbani kwa kuvunja ofisi na kuiba Bastola za TAKUKURU

    James Alex mkazi wa Vibaoni na Ally Waziri, Mkazi wa Bomani aliyekuwa mlinzi wa ofisi, wamepandishwa Kizimbani wakikabiliwa na makosa 4 yanayohusu tukio hilo Watuhumiwa walitenda kosa hilo Novemba 30, 2022 kwa kuiba Bastola 2 zenye usajili wa CAR NO F. 40326W na Risasi 15 na nyingine yenye...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ukikuta ofisi imebandikwa hivi, "Hatupokei Rushwa" Usirogwe ukajichanganya

    Tembea popote, ingia ofisi yoyote lakini ikitokea umeingia katika ofisi iliyobandikwa maneno ya (Hatupokei Rushwa) Usirogwe kabisa ukajichanganya ukayaamini! Hata Ukienda kituo cha polisi ukakuta bandiko kubwaa la HAKI ZA RAIA usipoteze muda kusoma! We shughulika na kilichokupeleka! Siku moja...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

    Habari Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
  12. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kuna atakayethubutu kuikemea Ofisi ya Msajili wa Vyama hasa Naibu mbele ya Rais hapo kesho?

    Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Ofisi za Gazeti la Guardian zapata shambulizi la mtandaoni

    Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida. ========= Guardian hit by serious IT incident believed to...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama kuwa na ofisi ni jambo la maana, CCM isingeyumbisha nchi namna hii

    Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa kujiendesha na hatimaye kufungwa, nazo pia huwa na Ofisi. Wakati Serikali ilipoamua kuyaunganisha...
  16. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Handeni, walioiba silaha Ofisi za TAKUKURU ni TAKUKURU wenyewe

    Habari za mapumziko, Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe. Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono. Inasemekana...
  17. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre). Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja) Bei hazina maongezi (prices are fixed) 1-Sony PlayStation 2 inatoka kwa TSh 100,000 pamoja na memory card, flash, padi mbili na nyaya zote. 2-Sony...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
  19. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  20. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Lugha chafu, dharau na rushwa kwenye huduma za kijamii, hospitali, idara ya maji, TANESCO na ofisi nyingine za Serikali hata hili serikali mshindwa?

    Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma? Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa, kunyanyapaliwa, kukejeli, kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA.. Tunaenda wapi sasa...
Back
Top Bottom