ofisi za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHEDU

    Suala la kuuliza kabila kwenye ofisi za umma inachochea Ukabila

    Habari wanajukwaa, Haya masuala ya kuuliza makabila ya watu kwenye ofisi za umma yanakera sana na yanachochea ubaguzi wa kikabila, nafikiri ni muda sahihi sasa wa kuyapiga marufuku hasa tunapoekea kutafuta kabila mpya. Haya mambo utayakuta Polisi, JKT, Hospitali, bodi ya Mikopo n.k Kwakweli...
  2. peno hasegawa

    Vishoka wakithiri ofisi za umma

    Saa 6:15 asubuhi naingia ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuomba leseni ya udereva. Lengo la safari yangu si tu kufika TRA, bali pia ofisi za Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi pamoja na Uhamiaji kufuatilia taarifa za uwepo wa vishoka ambao wapo kwa kivuli cha kutoa msaada kwa...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Vishoka wakithiri ofisi za umma

    Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa, ofisi za umma zimesheheni vishoka, na hii imekuwa ikijidhihirisha hasa kwenye mambo ya ajira. Ajira zinatangazwa kwa mfano TAMISEMI au Utumishi lakini kuna watu wanaambiwa leta vyeti na kiasi flani cha pesa halafu tulia wewe utapigiwa simu tu au utalikuta...
  4. adriz

    Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
  5. Tulimumu

    Kondomu za bure kwenye ofisi za umma zinachochea ngono

    Ukitembelea ofisi nyingi za umma ukaingia vyooni utakuta box la kondom za bure limewekwa ukutani kwaajili ya wanaohitaji kuzitumia kufanya ngono kama ambavyo unaweza kukuta katika mabaa na nyumba za kulala wageni. Sasa unaweza kujiuliza kwamba hivi humu maofisini watu pamoja na kazi wanafanya...
  6. Nkulu wa nchito

    Mazoea yamezidi Ofisi za Umma

    Hizi ofisi za Serikali siku hizi mambo yamerudi vile vile kama zamani sikuwahi kuombwa rushwa leo nimeombwa rushwa watumishi wanafanya kazi utafikiri za baba zao. Kweli mtu nimetuma barua toka mwezi wa tatu kila ukienda haijajibiwa kumbe kuna mtu kaweka barua pembeni kisa anataka rushwa sasa...
  7. D

    Sanduku la maoni kwenye ofisi za Umma ni miyeyusho

    Katika pita pita zangu kwenye ofisi za umma nimejifunza Haya! Ukipeleka maoni yako au kero yako kwa unaeamini ni boss (In charge) wa ofisi ndiyo kwanza unaiongezea ugumu huduma unayotafta Ukiandika maoni yako na kuyaposti kwenye kisanduku cha maoni (suggestion box), Unaemlalamikia ndiye mwenye...
  8. Z

    Bado Kuna tatizo la "ulevi" wa madaraka/vyeo

    Kuna kila dalili kuna baadhi ya viongozi/watendaji wa Serikali wanalewa madaraka mara baada ya kuteuliwa na wanasahau kabisa kuwa nafasi hiyo kateuliwa tu na wakati wowote anaweza kutenguliwa. Baadhi yao wamekuwa wakidhani kuwa wao ni bora zaidi kuliko wengine walio achwa na hivyo kuanza kuinua...
Back
Top Bottom