ofisi za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  2. M

    Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  3. H

    Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  4. Magufuli 05

    Tetesi: Taratibu baada ya kunoga TTCL inakufa, Mixx by YAS yachukua nafasi ofisi za umma

    Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni tofauti. Je, mmiliki wa Yas ni nani? Ukute ndo Hawa madalali
  5. matunduizi

    Bado Mungu anakupenda

    Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wetu. Bado anakupenda sana. Ni hilo tu. Usiku mwema.
  6. Kipenzi Changu

    Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  7. Waufukweni

    RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

    Wakuu kumekucha salama? Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma. Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
  8. Yoda

    Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

    Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi. Ni kero zaidi ukizingatia watumishi wengi utoaji huduma wao ni wa taratibu sana(slow people) na bado huwa wana muda mwingi...
  9. Bufa

    KERO Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili?

    Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu zote bongo. Jana niliingia website ya STAMICO kutafuta contact info zao cha ajabu namba waliyoweka...
  10. MR KUO

    Uzembe na uswahili kwenye ofisi za umma ngazi ya elimu umerudi. Inasikitisha sana

    Kipindi cha awamu ya chuma,jiwe tulishuhudia huduma bomba sana kwa watumishi wa umma ngazi zote, kuanzia chini hadi juu, ila baada ya kuondoka inaonekana kaondoka na vyote mapanya buku yametawala baada ya paka kusepa. Majuzi hapa nilienda shule x kuomba nafasi ya uhamisho kwa kijana wangu wa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Serikali iunde Taasisi ya Usimamizi na Ukaguzi kwa Watumishi wa Umma. Hii PEPMIS tunawekeana 90% maisha yanakwenda, hakuna mabadiliko ofisi za umma

    Hello! Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna. Unakuta ofisi leo inaomba...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange. Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana...
  13. Mto Songwe

    Baadhi ya watoa huduma hasa wanawake customer service zao sio nzuri

    Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi? Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana. Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
  14. A

    Baadhi ya Watendaji wanadai hongo ili kupitisha barua za ajira zinazoelekezwa kwao kabla hazijafika kwa Mkurugenzi

    Kumekuwa na changamoto za watendaji kudai hongo kwenye post za ajira zinazoelekeza barua kupitia kwa watendaji ili barua yako ifike kwa mkurugenzi. Pia fursa zikija mtaani bila kutangazaa ajira portal hawatangazi kwa wanakijiji wanatembeza kimagendo ili wajiptie fedha.
  15. M

    Serikali ipeleke bendara ya taifa kwenye ofisi za umma na ofisi za taasisi mbalimbali, na zipandishwe na kushushwa kama ilivokuwa zamani

    Hili ni agizo la mwananchi wa kawaida Kwa serikali. Ni aibu ofisi za mitaa, vijiji, miji mbalimbali nchini kukosa bendera ya taifa huku mkiimba uzalendo mdomoni. Mmeshindwa hadi na mahotel na shule za chekechea wao wanakua na bendera ya taifa ilihali ninyi ofisi zenu hazina bendera. Vituo vya...
  16. M

    Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

    Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri. Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi...
  17. M

    Kwanini ikitokea mfanyakazi mmoja wa ofisi za umma akawa mtenda haki, sio mpenda rushwa anachukiwa sana?

    Nawasalimu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa hivi nilivyo nashukuru. Mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimezaliwa nikajikuta nina moyo ambao muda wote unaitaji amani, na sipendi kuonea mtu wala sipendi kuona mtu mwingine akionewa...
  18. S

    Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  19. Sifi Leo

    Ubadhirifu unaofanywa mbele ya picha ya Rais ni sawa na kumtukana na kumng'ong'a Rais ukimuangalia usoni

    Kila niamkapo sikosi jambo la kuandika hapa jf, unawesa patwa na hisia labda kila nikilala huwa niota au la? Najiuliza hivi wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika ofisi za umma uwa wanaiangalia picha au kuitizama picha ya Mh. Rais wetu kweli? Kama wanaitazama hawajui kama anawaona ?hivi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Iundwe tume ya kushughulikia rushwa na urasimu katika ofisi za umma

    Habari! Hali ni mbaya sana. Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma? Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
Back
Top Bottom