nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Dyna na Toyoace sio gari nzuri? Hasa Kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T

    Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi, Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi? Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji? Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  3. JamiiForums Tanzania Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Pasi nzuri za kisasa zinauzwa

    Habari wakuu. Pasi ni nzuri Sana unaweza kutumia mvuke. kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya nyumbani. Bei ni 150,000/- Zipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa zikakufikia. Karibuni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi speed ya 1.6GHZ ni nzuri au siyo nzuri kwa laptop?

    Hivi jamani speed ya 1.6GHZ kwenye pc ni nzuri au sio nzuri mana nimeambiwa speed ndo iyo na Ina GB 16 SSD na ram 4 vp iyo PC Iko poa au majanga tu?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

    “Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

    Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi. Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza. Niliwaza kutenengeza pedi lakini naona mtaji wake utanishinda inabidi mzigo kuagiza utengenezwe China pia nikisema nizalishe hapa hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Kazi inahitaji finishing nzuri

    Katika harakati za kujitafuta nilifanikiwa kukutana na huyu jamaa na sasa tunaishi kama ndugu. Ndio kwanyakati tunakutana wote tulikuwa tunapitia hali flani ambazo nisehemu ya mapito kwenye maisha yetu. Mwisho nilikuwa chini yake kama (nyokaa) wakati naendelea kutafuta tobo kuna kazi nilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
  11. JamiiForums Tanzania Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  12. JamiiForums Tanzania Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  14. JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  16. JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

    Habarini ndugu Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue. Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto...
  17. W

    JamiiForums Tanzania TUNUNUA MATAIRI MABOVU YA MABASI NA SCANIA KWA BEI NZURI!

    Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania. 💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja! ✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi. 📍 Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
  18. O

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo Vidogo au kampuni za kufanya printing. Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  20. JamiiForums Tanzania Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria

    Wakuu Habari, Nahitaji Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria ambapo Nitapata Vinywaji na Chakula kwa Affordable Prices NB: Yasiwe Mahoteli Makubwa Makubwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…