nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  2. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

    Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

    Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar. Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet...
  5. JamiiForums Tanzania Wanywa kahawa tu:-Hivi kuna kahawa nzuri yenye kuchangamsha kama Nescafe Gold?

    Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee. Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana. Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
  6. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Waziri Simbachewene kuvaa picha ya Samia badala ya nembo ya taifa, sio ishara nzuri

    Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia. Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
  7. JamiiForums Tanzania Mfumo wa usambazaji fiber (mkonga ) TTCL umekosa plan japo wana huduma nzuri ya internet

    Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma. Ili linawakumba sana...
  8. A

    JamiiForums Tanzania No reforms No election ni project nzuri lakini ngumu mno. Plan B & C ni ipi?

    Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe.... Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie. Kukubali Uchaguzi katika...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3 bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  10. JamiiForums Tanzania Tunajuaje kama bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni nzuri?

    Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na teknolojia. Hata hivyo, si kila bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni yenye manufaa au sahihi kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zipi fani zinazotolewa na veta kwa sasa ni nzuri kwa mabinti

    Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada shule nzuri ya private kwa primary!

    Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri. NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
  14. JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

    Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
  15. JamiiForums Tanzania Hotuba nzuri ya kwanza ya Lissu tangu nimfahamu

    Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa. Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji, biashara, uvuvi na ufugaji kama chadema ikipewa ridhaa. Hata Ruto aliimba hayohayo wakati...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  17. JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa website nzuri ya kupaste ulr kudowload movies for free zinazokua kwenye website za kuuwatch online tu.

    Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu. Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Njia nzuri kutatua mgogoro DRC

    Ili kumaliza mgogoro DRC jumuiya ya kimataifa LAZIMA ifanye yafuatayo: 1. DRC iwatambue na kuwakubali raia wake wenye asili ya makabila ya nchi nyingine. Kama vile Tanzania ilivyoyatambua makabila ya wamasai, wasegeju, wajaluo, wapare, wahaya, wamakonde, wamanyema. 2. Rwanda na Uganda izungumze...
  20. JamiiForums Tanzania Kosa la chasambi tumeliona game nzuri tumeshuhudia ila Mpanzu ni habari nyingine

    Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi..... kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…