nywele

  1. JamiiForums Tanzania Je wajua Ireland wana festival ya watu wenye nywele nyekundu?

    Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

    Mungu siyo taahira kuumba nywele katika maeneo zinapopatikana. Ameziweka kwa kazi maalumu ktk kila eneo. Nywele za kwapani na katikati ya makalio kazi yake ni kupunguza joto na jasho ili kuepusha fangasi kujenga kambi maeneo hayo. Unapozinyoa unasababisha makalio na vikwapa kujifunika kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    📣📣📣📣📣📣📣📣 Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi 🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu huu ni mpana sana, basi bila kupoteza wakati twende sawa. 👉Nywele na kucha zinaaminika kuwa na nguvu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba. Nywele zinavyovutwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dawa au mafuta ya kuondoa nywele kichwani

    Habari za jioni wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 32, jinsia yang n Me, nimekumbana na changamoto ya kuota kipara mapema sana kuanzia kwenye komwe mpaka kisogoni, kwa bahati mbaya zaidi nywele za pembezoni mwa kichwa zinaota na kustawi haraka sana kila ninaponyoa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa nywele: Brazilian, peruvian, French curls

    Unafanyia manunuzi wapi? Nchi gani zinauzwa bei rahisi South Africa au China. Na bei zake tafadhali kama inawezekana.
  8. JamiiForums Tanzania Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa za Kuotesha Nywele (Upara)

    Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
  10. JamiiForums Tanzania Je, nywele za mwilini unazipenda au zinakukera?

    Kausiku kameingia, njooni tuzogoe. Mpo humu wanaume ambao mnapenda muachiwe mbususu zikiwa na minywele imetaradadi, wakinyoa mnakasirika mfano mzuri huyu hapa "Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa." Na pia mpo humu wanawake ambao mshakutana na wanaume...
  11. JamiiForums Tanzania Washiriki wa shindano la urembo wazuiwa kuvaa mawigi, watakiwa kuonyesha nywele zao za asili

    Kamati ya maandalizi ya shindano la urembo nchini Ivory Coast (Miss Côte d’Ivoire 2025 -COMICI) imetangaza kuwa katika hatua za awali za mchujo, washiriki hawataruhusiwa kutumia nywele za bandia. Badala yake warembo wote wanapaswa kuonyesha nywele zao za asili, iwe ni ndefu, fupi, au zimekatwa...
  12. JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi kwa Nywele: Kutoka Grace Hair and Body Gardener

    Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele na jinsi ya kutumia bidhaa ya Grace Hair and Body Gardener ambazo zimetengenezwa na mafuta ya...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?

    Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeanza mwaka 2025 ukiwa na zile nywele zenye jina baya hutoboi, utatoboka.!

    Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka 2025.
  15. JamiiForums Tanzania Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  16. JamiiForums Tanzania Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  17. JamiiForums Tanzania Anataka kuniacha kisa nanyoa mala mbili Kwa mwaka nywele za chini

    Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

    Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…