JamiiForums Tanzania
Nyumbu
Kuna nyumbu wamenifuata pm et ooooh wachaga hatupo hivi , unamasifa sana na unatoa code.
Kiufupi hamnilishi ,wala hamna msaada kwangu gademitt , hapa nipo bar nakula pesa ya babu, ya baba bado, yakwangu hata sijaifikiria kula ,wewe baba yako alikua wapi mbusi wewe