nyumbani kwako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usiingize housegirl nyumbani kwako bila kukagua begi na mifuko yake

    Huwa nashangaa sana wakifika majumbani wana pelekwa moja kwa moja vyumbani bila ukaguzi, hii ni hatari. Hakikisha siku ya kwanza house girl wako anapofika tu, step ya kwanza inabidi apekuliwe begi kujua kama kuna kitu chochote kitachohatarisha usalama wenu, Hapa akikataa ni heri mumlipie lodge...
  2. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Door and window sensor alarm (alamu za madirisha na milango)

    Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini changamoto ni hela? Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia dirishani wakati wa usiku Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
  3. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

    Habari wanajamii, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwenyewe kama umerogwa. 1. Chukua mkaa usagesage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia. 2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa...
Back
Top Bottom