nyumba

  1. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

    Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet. Plot size Sqm 750 Clean title deed (HATI MILIKI IPO) BEI MILIONI 500 (500,000,000) Mawasilinao 0782 780980
  2. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Industrialisation Uingereza. Butcher man alipita na mkokoteni nje ya nyumba

    Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza magonjwa kama cholera kwani yalikuwa treated kabla hayajafika kwa mtumiaji.
  3. JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  4. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba makadirio ya hizi nyumba

    Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU. PICHA NUMBER 1 PICHA NUMBER 2 Natanguliza shukranii
  8. JamiiForums Tanzania Unahitajika mkopo wa Tsh 5 mil. Dhamana ni nyumba

    Habari za mida hii wakubwa? Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie. Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo). Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  10. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais avunje Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Chimbuko la migogoro ya ardhi iwe ni wafugaji kwa wakulima, iwe ni wananchi na wawekezaji kama maneo yenye madini au iwe ni maeneo ya mijini kama nilivyosikia kinondoni nyumba 400 zinabomolewa au iwe ni ngorongoro Chimbuko la migogoro hii ni wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba ambayo haijakamilika inauzwa VIWEGE KWA MPEMBA, Ukubwa ni 28m × 14

    Nauza nyumba ya vyumba 3, sebule , dinner room, jiko , vyoo 2- masterbedroom. Eneo linalo zunguka nyumba hii lina ukubwa wa 28m × 14m , bei ni Tzs 7.5 milion. Hii nyumba ipo VIWEGE KWA MPEMBA , ila bado haija pauliwa tu. Kwa anayetaka kuinunua mawasiliano ni 0784 281125 kuanzia 8:00 asubuhi...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba nyingi huku Visiga zimeachwa kwenye maboma

    Huku maeneo ya kwetu Kibaha -Visiga nyumba zilizokuwa zinaota kama uyoga miaka miwili iliyopita sasa zimebaki maboma tu na waliokuwa wanazijenga haijulikani wamepotelea wapi. Sasa hivi ujenzi unaoendelea kwa kasi maeneo yetu ni wa vituo vya kuuza mafuta lakini ujenzi wa watu binafsi umedorara...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu afa kwa moto, funguo za nyumba zakutwa nje

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Morogoro Daudi Senyagwa, amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kutekea kwa moto akiwa amelala ndani usiku wa kuamkia leo Juni 15, 2022 katika mtaa wa Seminari, Kata ya Kingolwila Manispaa ya Morogoro. Wakizungumza na EATV mashuda wa tukio hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Amkeni mdai nyumba yenu. Mkija shtuka mtakuwa mmechelewa, pengine mnadhani kwa sasa mpo salama

    Nikikuuzia au kukupangishia haka kakiwanja utanipa sh. ngapi? watoto watalalamika lakini mwishowe yataisha we kama unapapenda hapa sema tuongee bizinez. na wao nitawaambia hii pesa tunafanyia ukarabati wa nyumba au kulimia.nitawapa kiasi kidogo lakini mambo mengine tunamalizana" Mama wa kambo...
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba hii unachukua tofali kiasi gani?

    Habari wana JF, Naombeni msaada kwa anayejua maswala ya ujenzi nilkuwa nataman kujua nyumba ya aina hii inatakiwa iwe na tofali kuanzia ngapi? Msingi itakuwa ni tofali ngapi? Na kupandisha Ni tofali ngapi?
  16. JamiiForums Tanzania Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kwanza ya "City Park Audiobook House" katika Mkoa wa Henan, China yazinduliwa

    Tarehe 9 Juni 2022 "Nyumba ya Kitabu cha Sauti ya City Park" ilizinduliwa katika bustani ya umma ya Zhengzhou mkoani Henan, yenye zaidi ya vitabu 16,800, na wakazi wa huko wanaweza kusikiliza vitabu hivyo bila malipo.
  18. JamiiForums Tanzania Usinunue vitu vya thamani kwenye nyumba ya kupanga, kabla hujajenga kwako

    Watu wengi hupenda kununua vitu vya thamani na kuishi navyo kwenye nyumba za kupanga (nyumba za wanaume wenzao, waliojinyima na kuweka mijengo). Kufanya hivyo, kunawafanya watu wengi kuishi muda mrefu kwenye nyumba za kupanga, na kusahau kujenga nyumba zao. Utakuta mtu ana kipato kizuri...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia ili kufupisha muda wa ukarabati wa nyumba ya kukuingizia fedha

    Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika. Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kisarawe: Watu 8 wavunja nyumba saa nane usiku, wabaka, waiba na kujeruhi kwa mapanga

    Kundi la watu wanaokadiriwa kuwa 8 usiku wa kuamkia Juni 4, 2022 wamevunja nyumba moja iliyopo Mtaa wa Bomani Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani na kufanya ukatili wa kubaka, kuiba vifaa vya ndani na kujeruhi kwa mapanga na kutokomea kusikojulikana Wahalifu hao walifunga komeo kwa nyumba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…