nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa banana mil 20 elewa neno banana yaani mwendokasi inajengwa

    Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini Ina vyumba 3 vya kulala 1 master bedroom 2 Normal rooms Seble Dinning Choo cha wagen Kutoka lami hadi kwenye nyumba unatembea kwa mguu tu dakika 10 gari ni moja hadi mjini...
  3. JamiiForums Tanzania Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyombo ndani inapangiswa mbeya

    Nyumba yenye vyombo.ndani/ full furnished house for rent at Mbeya inapangishwa Mbeya mjini Tshs.1.5m kwa mwezi. Ni nyumba nzuri ya kusasa. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mbeya mjini..

    Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 45m. Wasiliana nasi+ +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa
  6. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Uzunguni Mbeya

    Kiwanja kina ukubwa wa sq 1500. Ni eneo zuri kwa uwekezaji, appartment,kuishi,ofisi nk. Bei. Tshs. 600m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  7. JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  8. JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa ambae anataka kuhama kwenye nyumba za national housing naomba anishitue

    Habari wakuu .... Mambo juu ya mambo 1 haikai mbili haikai .... Kwa ambaye amejipata na alikuwa anaishi kwenye nyumba za national housing naomba unishitue ndugu yang nije nihamie Maana nimeenda kwenye ofisin za NHC naambiwa nyumba zote Zina watu na watu awataki kuhama Hvyo ww ambae umejipata...
  10. JamiiForums Tanzania Uchawi katika nyumba za kupanga

    UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama...
  11. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  12. JamiiForums Tanzania Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza

    Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...
  13. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari ya wakati huu wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole . Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo. Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza...
  14. JamiiForums Tanzania Pendezesha nyumba yako kwa ngazi mzunguko kama hii, kwa gharama nafuu kabisa.

    FAIDA ZAKE Inachukua eneo dogo Inamvuto. 0756244608
  15. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya nyumba 432 zabomoka na kuezuliwa paa baada ya Mvua na upepo mkali Ulanga

    Zaidi ya nyumba 432 zimebomoka na nyingine kuezuliwa paa baada ya Mvua iliyoambatana na upepo kunyesha katika kata ya Iragua wilaya ya ULANGA Mkoani Morogoro na kuathiri vijiji vinne vilivyopo kwenye kata hiyo Soma: Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro...
  17. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inauzwa mil 20 chanika inavyumba 3 vya kulala

    NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22) CONTACT: 0743 257 669 Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp UKUBWA WA ENEO SQM 400 BEI TSHG MIL 22,000,000/= NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kitunda Mnadani karibu na sheri, bei ni TSh. Milioni 35

    Inavyumba 6 Eneo la parking lipo kubwa limebaki mbele Nyuma kuna uwanja wa kujenga hata vyumba 3 vya kulala Nyumba inawapangaji nyumba iko kwenye barabara ya mtaa gari inafika Haina mgogoro eneo limepimwa hati haijatoka bado karibu 0743 257 669 nipigie
  19. JamiiForums Tanzania Fundi wa urembo wa kona,madirisha na nguzo za nyumba

    Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
  20. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…