nyumba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

    Habari wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea. Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume Jifunzeni Ku-Handle Familia Zenu: Usikubali Uongozi wa Nyumba Ugeuke Ukoloni!

    Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu. Ukiona unam-control mke wako kwa makelele, vitisho na mangumi, bro unaishi kama colonizer wa karne ya 18. Hii...
  3. JamiiForums Tanzania UNAHITAJI MJENZI MAKINI KWA AJILI YA NYUMBA YAKO ?? CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM

  4. JamiiForums Tanzania Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

    Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Bahari Beach Dar es Salaam

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  10. JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzurii? Basi hapa umefika we do best design for your project call us 0624004650

    CHECK OUT THIS 4BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 800SQM TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mil 20 chap!

    Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/threads/karibu-umalizie-nyumba-kwa-mkataba-kisha-uhamie-nahama-kikazi.2306587/ Nimeamua kuiuza. Mwenye Mil 20 chap aje nimpatie. Ni yangu mwenyewe. Nyumba ina vyumba viwili vyote master, chumba kimoja cha master ni kikubwa (cha baba na mama), Ina public...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mil. 20 chap!

    Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/threads/karibu-umalizie-nyumba-kwa-mkataba-kisha-uhamie-nahama-kikazi.2306587/ Nimeamua kuiuza. Mwenye Mil 20 chap aje nimpatie. Ni yangu mwenyewe. Cc: Half american na wengineo mliokuwa mnauliza. Nyumba ina vyumba viwili vyote master, chumba kimoja cha...
  13. JamiiForums Tanzania House4Sale Kibamba: Nyumba ya Vyumba 3 ya Ghorofa 1 Inauzwa - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  14. E

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira nyumba ya Lissu, Muliro aeleza sababu 'Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida'

    Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi. Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole

    Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Nimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara, Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao...
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya ghorofa kisasa goba half lanod inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa nzuri ya ghorofa underground half landon inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa vigogo wote wa serikali na wananchi kwa ujumla

    Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila wewe kuwa na taarifa ya mapema. Lakini, wakati wako wa kuaga dunia ukifika—muda wa kufariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…