Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
Habari wakuu.
Nyumba zipo nne ndani ya kiwanja kimoja Mtaa wa Undogi Tank la maji.
Nyumba mbili zimepauliwa
Nyumba mbili hazijapauliwa.
Sqm 870
Hati ya wizarani.
Location Kibamba njia panda ya shule Mtaa wa Undogi Tanki la maji.
Km 3 kutoka Morogoro Road hadi kwenye nyumba...
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika.
Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
650k USD
Maongezi yapo tuwasiliane 0769619500 rasta majumba
Mita 600 kutoka beach
Ipo wa mtaa wa pili kutoka mwai kibaki road
Ukiwa gorofa ya kwanza unaona bahari
Familia mbili za Wastaafu wa serikalini ambao walikuwa wakiishi katika nyumba za Wakala wa majengo (TBA) jijini Arusha wanakumbwa na hali ya sintofahamu baada shirika hilo kuwafurusha kwa kutoa vitu vyao nje kwa madai ya kushindwa kulipa kodi.
Familia hizo zinadai ni takribani mwezi mmoja sasa...
Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa.
Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi.
Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio...
Eneo lenye nyumba iliyofikia umaliziaji inauzwa Goba, Dar.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Eneo:
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina Vyumba vitatu vya kulala, chumba...
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao.
Wasio na Pensheni.
Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau.
Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi.
Akiwasilisha mada ya zana ya taarifa binafsi, Mkurugenzi wa usajili na Uzingatiaji wa PDPC, Stephen...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la JF.
Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia vitu usivyo elewa...
habari wadau.
Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.
wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,,
1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms.
Mfano:
Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮...