nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

    Tips za ujenzi Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary 1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana) 2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30 3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta 4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti Misewe B

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Ununio

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  7. JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale, located at Mbweni mpigi Daressalaam Tanzania,price tsh 670m

    #houseforsale GOROFA LINAUNZWA INA VYUMBA VITANO VYA KULALA NA BYCOTA ENEO SQMT 1200 OFFER MILLION (670) MAONGEZ HAT IMENYOOKA LOCATION LOCATED AT MBWEN MPIGI 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ina uhitaji wa zaidi ya nyumba milioni 26 ifikapo 2050

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi mahitaji wa watu milioni 118.1. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua semina...
  10. JamiiForums Tanzania ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

    Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi wanaijua dollar trillion hawa 🤣🤣🤣 Kwa maana hiyo ni matajiri Sasa kuliko Elon Musk ambae ni tajiri...
  11. JamiiForums Tanzania Tusio na nyumba tukutane hapa

    Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura. Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba , maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana. tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka...
  12. JamiiForums Tanzania MTEJA AMETUPIGIA NA KUWA ANAHITAJI NYUMBA KUBWA (6BEDROOMS)NA YENYE MUONEKANO WA KISASA AMBAO SI SIMPLE SISI TUMEMPA HIZI OPTION 3 WEW UMEPENDA IPI ?

    6BEDROOMS SEBULE KUBWA NA NDOGO JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN) DINING WITH PATIO MASTER WITH PATIO TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchanganuo wa kupaua hii nyumba

    Ramani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tanga, Magomeni

    Wakuu habari za majukumu ya kifamilia,kijamii na kitaifa! Natumai hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kuna nyumba huku tanga mjini mtaa wa magomeni A inauzwa,iko na 3 bedrooms,1 master room,sitting room kubwa na store. Pamoja na vumba vitatu vya nje. Bei, million 40.
  15. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Maua yakupamba nyumba : Artificial

    Wale wapenzi wa maua ya kupamba nnyumba Haya yako kibao huko alxpes kwa kianzia 5000 Aliexps link 👉🏻31/37 cm künstliche Schlangenpflanzen, gefälschte Sukkulenten, Kunststoff, Tigerfellpflanze, tropische Sansevieria für Büro, Zuhause, Tischdekoration - AliExpress 15
  16. JamiiForums Tanzania Ukitoa rangi, ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ambao hautozeeka haraka wala kupitwa na wakati

    Ndugu zangu . Kama kichwa cha habari kinavyosema Ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ukitoa rangi.
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  18. JamiiForums Tanzania UNAWEZA UKAJENGA NYUMBA NZURI BILA LANDSCAPE NZURI INAPOTEZA MVUTO KARIBU TUKUPE DESIGN NZURI NA UTEKELEZAJI PIA 0624004650

    WE DO DESIGN AND BUILD CALL/WHATSAP +255624004650
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu. Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo.. Nahitaji...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar Yashindwa Kulipa Fidia kwa Nyumba Zinazotakiwa Kupisha Barabara – Maendeleo Yakwama

    Ndugu wanajamvi, Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar. Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…