nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Miliki nyumba hii kibamba shule Kwa 75 millions

    MILIKI NYUMBA NZURI KIBAMBA SHULE – MILIONI 75 TU!* Nyumba ya kuvutia inauzwa, ipo Kibamba Shule (1KM kutoka barabara ya lami). Sifa za Nyumba: Vyumba 3 (1 Master) Jiko + Dining Mabanda ya kufugia kuku (tayari kwa biashara ndogo) Fremu 3 za biashara (hazijamaliziwa) Eneo kubwa SQM 1300 –...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaouza gesi msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi kwa usalama wenu

    Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu: msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi. Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Moto wateketeza nyumba na kila kitu lakini biblia yabakia salama, haijaungua hata kidogo

    Wakuu, Hakika huu ni ushuhuda wa ukuu wa neno la Mungu lisiloweza kuteketezwa na chochote kamwe. Moto mkubwa umezuka katika nyumba moja iliyopo Kitongoji cha Kiurei, Kata ya Kiranyi, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha na kuteketeza mali zote zilizokuwemo, ikiwemo samani na vifaa vya umeme...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi wa nyumba 10 anazunguka kutafuta watu wa kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM

    Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba. Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
  5. JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  6. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba 3 kwenye Kiwanja Kimoja, Ubungo Kibangu

    - Mpangaji Mmoja Mwenye Kukodisha Muda Mrefu Anahitajika! · Nyumba Kuu: Ina vyumba vitatu (3) vya kulala, jiko, sebule na eneo maalum la kulia. · Nyumba Ndogoo (2): Kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala vyenye ufanisi. · Bora kwa: Mpangaji anayetafuta kuchukua majengo mengi kwa mara moja...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Nini ndege na Njiwa wanamfata fata kila nyumba aendayo na Sasa amehamia kwake Bado TU wamemfata je Nini tiba?

    Huyu ni rafiki w karibu sana,tulicheza pamoja na tukakua pamoja. Leo ameamkia nyumbani kwangu kifuru Dsm,katika moja na mbili analalamika yakuwa amekuwa anafatwa na Njiwa kila nyumba aliyokuwa akipanga na Sasa ameamia kwake pia wemfata je hii Ina maana Gani? Wapo ndani ya singibodi.nachukia...
  10. JamiiForums Tanzania Nabii IPM: Ni aibu una miaka 50 huna nyumba wala gari.

    Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki? https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
  11. JamiiForums Tanzania WANASHERIA WA MASUALA YA ARDHI NA NYUMBA NAOMBA MAWAZO YENU YA SUALA HII KESI.

    Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
  12. JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mapaa ya nyumba

    Hizi ni aina mbalimbali za mapaa/miezeko ya nyumba, je ipi ni chaguo lako pendwa? mimi nimependa butterfly:)
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa inauzwa

    NYUMBA INAUZWA - MILION 200. CHAMAZI, TEMEKE, DSM Simu/WhatsApp: 0744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA KUBWA. ✅Vyumba 4 vya kulala – Vyote ni master bedroom (Vyoo vyake ni vipyaa, unavifungua wewe) ✅Sebule kubwa ya kisasa ✅Dining room. ✅Jiko la kisasa ✅Choo cha wageni (public toilet)...
  14. JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kijana wa miaka 30+ kukosa nyumba, gari na kipato cha kueleweka

    Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni. Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. Ukubwa wa Eneo(Size): SQM 880...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
  18. JamiiForums Tanzania Wakazi 700 Bagamoyo wapeleka kesi Mahakamani kudai kubomolewa nyumba zao kinyume cha Sheria

    Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria. Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Habarini ndugu. Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+ Baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…