Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.
Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
LUXURY NEW HOUSE FOR SALE
——————
At mbezi beach RAMADA _Dar es salaam,Tz
——————
Nyumba Ya Gorofa
▶️ 4 bedroom all ensuite
▶️ Swimming pools,Gym,Solar
▶️ Servants quarter
CCTV CAMERA
ELECTRICAL FENCE
—Plot area 1,800 sqm
——————————
With clean title deed 📑
Hati safi ya wizara
—————-...
Eneo linauzwa Square meters 371
Location Dar es salaam - makumbusho
Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini
Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na store kisha unapanda ngazi juu kuna vyumba vitatu vya kulala vyote master ila chumba kimoja ni...
Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu.
Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
Tonnombe Mukoko aliyewahi kukipiga na Yanga atapeliwa nyumba na mkewe mrembo wa kibongo ajulikanae kwa jina la Trish. Tonnombe Mukoko alimuoa huyo dada pisi Kali kipindi anacheza Yanga na ndoa yao ilifungwa Congo.
Kiungo huyo alipokea offer ya kucheza Libya iliyomfanya awe mbali na mkewe...
Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.
Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors.
Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni:
• kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha.
Naamini Kuna mafundi humu...
Sakata la P-Square limechukua sura mpya baada ya Peter Okoye, maarufu kama Mr P, kuamua kufunguka hadharani kuhusu kile anachodai kuwa ndicho kilichosababisha kuvunjika kwa moja ya duo kubwa zaidi za muziki Afrika.
Peter ametoa simulizi yake kupitia mfululizo wa video unaofikia Part 8/8b...
Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi.
Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati.
Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda.
Anakufikia dau mwisho unashangaa unaiuza.
Na kama kapanga kwako mpaka uje mkutoa basi mpaka ufanye visanga sana.
Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata
Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035
Nimependa muonekano wake !
Je inaweza cost vipi leta mchanganuo
Britanicca
Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa ….
ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco …
Ukubwa wa eneo ni sqm400……
Mauziano serikari za mitaa…
Bei sh 21m(bei inapungua)..
(Lina vyumba 6 (sio vikubwa)
0692669235
N:B.. amna udalali (karibuni)
Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi.
Hali hii imekuwa...