Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia...