nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

    Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran. Itakuwaje sasa, eeeeh? https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862 JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweza kulipua kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow katika siku chache-Axios

    Marekani yatarajia kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow ndani ya siku chache, maafisa wa Israel waliiambia Axios, wakati rais wa Marekani anapima hatua za kijeshi katika mkutano wa ngazi ya juu wa usalama Jumanne. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International, 10...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Trump abadili msimamo, asema Iran iache kabisa mawazo ya nyuklia, hamna tena ruhusa kumiliki nyuklia ya nishati

    Kilichokua kinajadiliwa ilikua Iran ipunguze nyuklia au madini ya uranium, na kubaki na ya matumizi ya nishati tu, ila sasa inashurutishwa iache kabisa mawazo ya nyuklia, na mpaka sasa anga ya Irani imetekwa na Israel, ndege zinapiga zitakavyo...... US President Donald Trump said on Tuesday...
  4. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Iran wanaweza kuunda bomu la nyuklia kwa muda wa wiki2 hadi mwezi mmoja! Lakini hawana nafasi

    Madhara ya hii vita Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja. Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti. Israel anaelewa kama akimuachia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tumeshambulia maeneo ya miundombinu ya nyuklia ya Iran - IDF

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti. Iliongeza...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yashauri Iran irudi haraka kwenye mazungumzo ya nyuklia kabla haijasambaratishwa zaidi

    By AFPToday, 8:39 pm French President Emmanuel Macron (L) meets with Iran's President Masoud Pezeshkian (R) on the sidelines of the 79th Session of the United Nations General Assembly at the UN headquarters in New York City on September 24, 2024. (Ludovic Marin/AFP) Share PARIS, France —...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?"

    ISRAEL NA IRAN 2025 KUCHOKOZA FUKUTO LA VITA KUBWA ZAIDI MASHARIKI YA KATI Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?" Na MALEKOGJ Katika saa za giza alfajiri ya Ijumaa, jeshi la anga la Israel lilianzisha kile kinachoitwa Operation Rising Lion shambulizi la anga kubwa zaidi...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  12. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video) Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, haiwezi kuharibiwa na kombora hata moja

    Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  16. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kwenda kwenye uzalishaji wa nyuklia tunge focus na ujenzi wa vitalu vya kuchakata gesi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada nipongeze ujasiri wa mueshimiwa Raisi mama samia kuhusu mradi wa nyuklia na kupendekeza itunufaishe wenyewe kwanza iyo uraniam. Ushauri wangu kabla ya kwenda kwenye uo mradi tunge anza na kipaumbele cha kujenga vitalu vya kuchakata gesi tuwe na unafuu wa...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  18. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  19. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi. Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
Back
Top Bottom