nyoka

Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Wakati nasoma Biblia mwanzo sura ya 3 - Kwahiyo Hawa mke wa Adam alimuona nyoka na hakukimbia? Wakapiga na stori? Bro ogopa wanawake

    Wakati nasoma Biblia mwanzo sura ya 3 Kwahiyo Hawa mke wa Adam alimuona nyoka na hakukimbia? Wakapiga na stori?? Bro ogopa wanawake.
  2. M

    Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  3. M

    Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

    Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
  4. ERTUGRUL BEY

    PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Askofu Ruwa'ichi: Mkiua nyoka wote, panya watawasakama mpaka kieleweke

    Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
  6. October 2pm

    Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  7. GENTAMYCINE

    Si vibaya tukishea kwa pamoja hii Elimu kiduchu kumhusu Adui yetu mkubwa Nyoka

    Aliyesema kuwa Nyoka ni Shetani hakukosea.
  8. GENTAMYCINE

    Wabobezi wa Nyoka huyu ni Nyoka aina gani na ana Sifa zipi na je, ukitaka Kumuua unafanyeje?

    Kafa baada ya kupigwa Risasi 15 ambazo Risasi 13 hazikufua dafu, ila Risasi 2 alizopigwa Shingoni na Jichoni ndizo zimemuua.
  9. Damaso

    Ukisikia Kujichanganya ndio huku

    Hapo sijui mshindi ni nani ila kuna mmoja ameshazidiwa kete zote.
  10. JamiiCheck

    KWELI Ulaji wa mayai ya nyoka yasiyopikwa vizuri unaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu

    Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu. "Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
  11. BICHWA KOMWE -

    Pambano la Paka na Nyoka: Kichapo cha haja

    Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri. Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko. Paka wakitaka kuua lazima wamtese...
  12. Bueno

    Nyoka Mwenye Kichwa Kidogo sana umbo kubwa eneo la katikati na Mkia Mwembamba

    Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
  13. Think2

    Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

    Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa. Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na...
  14. Z

    GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
  15. GENTAMYCINE

    Naomba sababu ya Kiufundi na ya Kiutaalam kabisa kwanini huyu Nyoka HATARI hapa hakumuuma huyu Mtoto

    Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia...
  16. Joshua Mbezi

    Nyoka Baada ya kuchomoza ndani ya Nyumba

    Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila kitakacho gonga juu ya bati ili wawahi kutoka nje kuokoa nafsi zao 😂😂
  17. ELI COHEN

    Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

    Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
  18. R

    Usitishwe na nyoka, Mungu alituma nyoka wa moto kuwauma waisraeli walipoasi, Nyoka wa shaba akainuliwa kuwaponya

    Salaam, Shalom! Wengi humu mmetishwa muonapo nyoka, au kuota ndoto za kuona nyoka, Ni kweli, Biblia imemuhusisha Ibilisi na nyoka, Joka la kale, la zamani, akiitwa Joka, pengine Joka linatoa maji mengi kutaka kummeza mtoto aliyezaliwa( kanisa). Sasa usilolijua ni kuwa, mbinguni wapo nyoka...
  19. The Dictator

    Wazo la kumhusisha nyoka na uovu linatoka wapi?

    Biblia pamoja na simulizi nyingi za kale kutoka sehemu mbalimbali za dunia zinaashiria uwezekano wa wanadamu wa zamani kuwa na mawasiliano na viumbe wa ajabu waliotoka mbali maarufu kama Ancient Aliens. :::(Rejea mada tuliyowaongelea ANUNNAKI). Simulizi la bustani ya Edeni katika kitabu cha...
  20. Labani og

    Je, kwanini ni ngumu kwa Nyoka kuwa ng'ata watoto wadogo?

    Kuna clips nyingi Mitandaoni huonesha watoto wadogo wakichezea kiumbe hatari aka Mr snake iwe koboko au wengine mara nyingi watoto wanakuwa unharmed na hao Nyoka. Je, sababu ni nini? Haya ni baadhi ya majibu yasiyo rasmi Nyoka anakudhuru kwa harufu unayoitoa unaposhikwa woga ambayo yeye anajua...
Back
Top Bottom