nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
  2. Angola ni nchi ya tatu kuzalisha crude oil kwa Africa ila wana refinery moja na nyingine ndogo sana

    Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi Angola wakihitaji diesel, petrol...
  3. M

    Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

    Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
  4. Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

    Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu? Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au...
  5. D

    Ugonjwa wa Moyo ni changamoto nyingine ya nguvu za kiume

    Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
  6. I

    Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine

    Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine Kila siku tunabadilishana mafaili kama JPG, PDF na mengineyo bila hofu yoyote. Hata hivyo, ukweli ni kwamba faili linaloonekana la kawaida linaweza kuficha programu hatarishi. Wadukuzi wameendelea kubuni mbinu za kificho...
  7. M

    Si kila mate ni udenda, jua aina nyingine za mate

    Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana na kutamani kitu kama mapochopocho nk
  8. Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  9. Sasa unaambia vijana wasibabaike na kudanganyika na BIASHARA utafikiri sasa wana choice nyingine lukuki za kufanya

    Mi nafikiri tuache ujuaji sana. Experience yako binafsi isiwe ndio hitimisho kuu. Kwa maisha yetu sisi masikini wa kiafrika, fursa ziko limited na expensive maana rasilimali zimekuwa economized. Kijana huyu ambae amekaa miaka 6 hata hajawahi kuitwa katika interview, kijana alieishia forma 4...
  10. Instagram wamefanya update. Wameongeza feature ya "repost" kama Tiktok na features nyingine 2

    Wakuu, Instagram imeendelea ku-copy features za mitandao mingine. Naona kwenye hii update yao mpya wameongeza sehemu ya REPOSTS kama ambavyo ipo kule tiktok Yaani hapa ukisha-REPOST kitu basi after sometime pia kinaonekana kwenye akaunti yako. Kwa hiyo sasa hivi kuna options kama 4 ambazo ni...
  11. GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

    Wakuu IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi. Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu Source: Uhondo TV
  12. Je, Elon Musk ananufaika na nini anapo simamia mipango ya kumhamisha binadamu kwenda kuishi sayari nyingine

    Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars. Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno kwa kutumia teknolojia. Lakini swali linalokuja kichwani mwangu nikua je? Jambo hilo ni muhimu kiasi...
  13. Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
  14. I

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  15. GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  16. W

    GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Habari ya Leo GT. Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA; 1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini? a: Kupunguza pressure mtaani b: Kupunguza mzigo kwa CCM c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba...
  17. Maana halisi ya kustaafu ni kupumzika, na sio kubadili kazi moja kwenda kwenye kazi nyingine

    Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo. Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini. Shamba langu litakuwa na mpangilio kama huu. Pia nitajenga kakibanda changu kadogo cha kupumzikia, pale nitakapohitaji kutafuta usingizi...
  18. L

    Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  19. U

    Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
  20. Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…