nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naona sasa mmeelewa kuwa siasa sio chuki au papara za mkumbo. Visasi na mihemuko imekuwa inawaghalimu sana nyie.

    Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi. Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo. Sasa mlidhani mtawakomoa? Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko Acheni mihemuko ya kisiasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Polepole: Sitavaa barakoa hata kama nyie wote mnavaa barakoa

    Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
  3. JamiiForums Tanzania Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

    Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!. Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!. Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!!😂 Sasa kwa faida ya nani sasa? Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu...
  4. JamiiForums Tanzania Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

    Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa'...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaoanzisha thread na kuwaita watz wenzenu wajinga mnajitambua kweli?

    Mara nyingi mtu akipata Mafanikio kidogo tu anaanza dharau na kuwaona ambao hawajafanikiwa kuwa ni wajinga Kwanza vijana wa Tz wanapambana sana sema sera Mbovu ndo zinawarudisha nyuma . Mtu anaishi Maisha yake hajakuomba chakula wala unga then unamuita Mjinga huu Ni upuuzi . Mtu unasikia...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

    Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani, na nyie mna hili tatizo la Wazungu kuhudumiwa vizuri na kunyenyekewa kuzidi natives (white privelege)

    Habari zenu Wakenya Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana. Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi...
  8. JamiiForums Tanzania Msiwe mnaumizana bure bila sababu wakati wa kujamiiana

    What is the refractory period? Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory period. At this time, their bodies “recover” from sexual excitement and return to their normal states...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaowa follow wasanii waliokufa huwa mnatakaga nini?

    Nimefikiria nimefikiriaaa nimekosa jibu. Kuna hawa watu hasa wa instagram wakipata tu habari ya mtu maarufu au msanii amekufa wanaanza kufollow account yake ya instagram. Hivi hua mnawatakia nini marehemu? Unajua kabisa amekufa hata ukimfollow inakuwa haina maana tena, hatopost tena na hata...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

    .Mtu Akifumania anaua .Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga .Mwingine nae wivu tu kameza madonge. .Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake. Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd. Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

    Unaona kabisa mtu amevaa engagement ring alafu bado unamtongoza. Hivi mnawazaga nini? Mnakua mnajaribu tu au kuna kingine mnawagazaga?
  12. JamiiForums Tanzania Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

  13. JamiiForums Tanzania Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

    Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku. Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli? Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila...
  14. JamiiForums Tanzania Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

    Hello everyone , how is yr weekeeeend going ? Okay, wakati wanachadema wakiwa na furaha na shamla shamla za kiongozi wao mbowe kurudi uraiani basi na mimi bila ya kupoteza muda wala kupepesa macho ningependa niende moya kwa moya kwenye mada . Imezoleka saaaaana katika jamii kwa sisi wanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

    Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna 'Foreigner' Mmoja kaniuliza hili Swali, ila nimeshindwa Kumjibu lakini najua nyie 'Great Thinkers' mtamjibu vyema ili 'nimtafsirie' hapa tulipo

    GENTAMYCINE hivi ni kwanini Siku hizi hapa Kwenu nchini Tanzania kila kukiwa tu na Shughuli ya Kitaifa Uhuru au Muungano au Mapinduzi mnapenda mno Kuwaonyesha Makomandoo wenu wakifanya Mambo ya Kimedani? Hii ina faida gani hasa kwa Watanzania wengi wasio na uhakika wa hata Maisha yao na...
  17. JamiiForums Tanzania Angalizo: The state nyie ndio mtakaolaumiwa nchi yetu ikiyumba

    Kelele zimeanza kusikika mapema kabisa kuhusu deni la Taifa! Hadi sasa ndani ya miezi michache ya Mama tena tisa tu tayari trillion 10 na zaidi ya nusu ya mkopo huo ukielekea visiwani Zanzibar wakati bado kuna miradi mikubwa ya bara kama stiglers na Bwawa la umeme haijakamilika Hadi sasa...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

  19. JamiiForums Tanzania Mnajua wine nyie?

    1 Timothy 5:23 "No longer drink only water , but use little wine for the sake of your stomach and frequent ailments." Whatever you are going to do with that information, is not my problem.
  20. JamiiForums Tanzania Wachezaji na Viongozi wa Simba SC, nyie ndiyo wa kuniokoa; tukifungwa na Yanga SC Desemba 11 nitakoma hapa JF

    Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…