Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari.
Je kwa upande wenu huwa inakuaje?
Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...