Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29
Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
Tulipata fununu huko JamiiForums na kuambiwa kama mambo yakiharibika kabisa basi pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili na ndani ya kikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa katika vyumba vya siri...
Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan.
Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania.
Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo.
Bila kumsahau Rais wetu...
Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?
Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada.
Hata hivyo...
Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi?
Nawasilisha kwa anayejua hii kitu.
Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana.
Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe, huu mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union na ule wa Costantine kule Algeria, performance ya mchezaji...
Anaandika Wakili Joseph oleshangay
freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”
Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul.
Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila...
ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee..
Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump.
Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris
Hakuna kitu kinawaumiza wamarekani middle class na class za chini zaidi kama mfumuko wa bei. Mafuta, umeme...
Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wakati rangi nyeupe ni kawaida kwa jezi za ugenini za Simba, uamuzi wa...
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha.
Kibaya...
Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.