nyerere

  1. W

    GE2025 Yerricho Nyerere enzi hizo: Chama namba 1 nchini ni CHADEMA huwezi kukiangusha

    "Hakuna anayeweza kukiua Chadema, Hakuna chief Odema chama cha upinzani zaidi ya Chadema ununu usinune, upende usipende, vingine vyote ni Vyama vya kwenye Flash" YERICKO NYERERE - enzi zake akiwa CHADEMA
  2. B

    Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman Alikuwa na kauli mbiu yake...
  3. R

    GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

    Wakuu, Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
  4. Polepole, Mpina na Hayati Magufuli ni kundi la itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Hawa ni wale wanaotembea na kufuata itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere. Hawa hawawezi kupendwa na kundi la makabila, mabepari, na wezi wa mali ya umma. Kundi hili liliweza kutawala 2015 hadi 2020 baada ya kundi la makabila kusinzia, ila hawatasinzia tena.
  5. GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  6. H

    Polepole akumbusha Wosia wa Hayati Nyerere Akiwa Hospitalini, Kuwa Tusikubali Nchi Yetu Itekwe, Tutajuta. Nchi Inaelekea Kutekwa

    Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
  7. Hali ya maisha ilikuwaje wakati wa ujamaa wa Nyerere?

    Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi. Humu jukwaani wapo wengi wakiishi wakati wa Ujamaa wa Nyerere. Tusimulieni hali ilikuwaje Ili tusije poteza...
  8. Bi. Mtumwa Kitete Muuza Uji na Vitumbua Mchango Wake Ndiyo Ulihitimisha Safari ya Nyerere UNO 1955

    BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955 Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy. Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road. Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi. Bi Mwamvua...
  9. Historia ya Ali Mwinyi Tambwe, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Julius Nyerere Safari ya UNO 1955

    JULIUS NYERERE NA ALI MWINYI TAMBWE, AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) SAFARI YA KWANZA UNO 1955 Usiku uliopita kijana mmoja jina lake Victor Madaha Mtangazaji wa Bongo Plus TV kanipigia simu kaniomba afike Maktaba siku ya pili tufanya kipindi kuhusu vijana na...
  10. Mwl Nyerere aliona Mbali sana kuhusu Kikwete na Lowasa kwa sasa sote tu Mashahidi

    GT Kwa hali ilivyo na mambo yanavyokwenda ni sahihi kabisa Nyerere kuitwa baba wa Taifa alikuwa na maono ndiyo maana hotuba zake zote utazani kaziongea hivi karibuni na zitaendelea kushangaza wengi. Marais wengi wamepita lakini hakuna mwenye wosia unaoshi kama Mwl Nyerere huyu mzee alikuwa...
  11. Mwl. Nyerere bado upo na utaishi sana

    Habari ! Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi. Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii...
  12. Kumbukumbu mtazamo wa Mwalim Nyerere kuhusu tabia za Wanasiasa

    Huu hapa mtazamo wa mwalim Nyerere kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2025 na wanasiasa wake
  13. James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  14. P

    PreGE2025 Special Thread: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  15. Kuwafanya binadamu wengine miungu na wengine wanyama ni lazima kupingwe. Nyerere

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alijulikana na kuheshimika kwa tabia yake ya kuji utu. Mwalimu aliheshimu utu wa binadamu wengine kwa kiwango cha Hali ya juu Sana. Hapa anatoa hoja muhimu Sana. Kambarage akizungumzia utu.
  16. M

    Anaye pambana na Samia anapambana na JPM | aliyepambana na JPM alipambana na Nyerere

    Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere Na Costantine V. Magavilla Katika kuendeleza mada ya janga la upumbavu, nimesukumwa, kwa sababu ya fursa iliyo mbele yetu – fursa ya kipekee ya kuunganisha juhudi za...
  17. L

    Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  18. GE2025 Kwanini Nyerere aliuchukulia urais katika muktadha wa Ufalme?

    Sio tu katika katiba ya nchi ambapo Mwl Nyerere aliujenga urais katika hadhi ya ufalme bali pia hata katika maongezi yake na utamaduni ni hivyo pia. Nyerere aliwajengea raia mtizamo kwamba watu kutaka kuwa rais au kuwa na ndoto hizo ni kama aina fulani ya dhambi hivi, kwamba urais huwa unaenda...
  19. Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  20. Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

    If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi. Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli. Tupunguze maigizo. N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…