Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha.
Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
Baada ya kumaliza madaraka yake ndipo kasoro nyingi kuziona kwenye utawala na kuona mbeleni kutakuwa hivi.
Ni kweli kwamba yeye ndio kafikisha hapo haya tunayo yaona.
Wachambuzi wazuri waliona mengi sana.Someni
Kuna mambo muelezwi wanao yaona huko.
Huyu waziri kombo anaweza kukupa kile kitabu au kinyago kama zawadi mara kuomba picha na wewe.
Mwisho wa siku habari tanzania kwenye vyombo vyetu vya hisabati tuna ambiwa kombo kapatana na mabeberu.
Hii tabia ya huyu mtu hata CV yake nikiisoma naona tuna...
Wao wazanzibari, sisi watanganyika, dhambi hii itawatafuna MILELE.
Je ni kweli kauli hii bado inaishi au imeshakuwa overtaken by time and modern development
Hilda Newton: Nimeona video ya Watanganyika wakizuiwa kuingia kazini huko Zanzibar, limetoka agizo kwamba kama mtu hana ID ya Zanzibar...
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 jijini Dodoma, Tundu Lissu aliyekuwa Mkuu wa Sheria wa CHADEMA, aliwajibu waliokuwa wakidai kuwa amemtukana Mwalimu Julius Nyerere kuwa kiongozi huyo alikuwa binadamu na alikosea, hivyo kumkosoa ni kuthibitisha ubinadamu wake.
Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag.
Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna utofauti kama ule wa mzee shayo na koyi mzungu.
Ukija Zanzibar kuna jamaa alikwenda kufanya kipindi...
Mwenye macho haambiwi tazama.
Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa nchini. Ukweli mchungu ambao wafuasi wa Mzee Nyerere hawapendi kuukubali ni kwamba mambo haya yana...
Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana:
1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili
2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata
3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake.
Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru.
Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo.
Naishia hapa....
28 May 2026
Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere 2026
UDSM
Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dr.Camillus Kassala
https://m.youtube.com/watch?v=bUMCKBv_7jk
Dr. Camillus Kassala mwanafunzi wa falsafa ambaye ni Mkurugenzi wa hadhi ya utu wa binadamu...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema.
Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu
Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini?
Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali 😎.
Mshana Jr
Mbaga Jr
Mzee...
Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2.
Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta hata kwa mwezi mmoja ili kupunguza impact za mafuta ambazo ni nyingi. Namtambua Ikulu Ina stock kwa...
Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeuanza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule,
Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta.
Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na...
Habari zenu wananchi wenzanguu
Niweke wazi mimi ni aina gani ya mtuu.
Mimi sipendi kuona mtu yoyote anaonewaa.
Sasa leo niko na Yericko Nyerere
Umesahau nini CHADEMA mbona ni kama unatumia nguvu nyingi kuisema CHADEMA kwa mabaya
Wakati mimi na wengine wengi tunaona kama unapoteza mdaa...
Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma.
Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani.
Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata.
Hayati...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea wanawake ingawa kitabu hicho hakijachapishwa hadi amefariki.
Wasira ameyasema hayo leo Februari...