nyerere

  1. Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  2. Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
  3. M

    Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  4. Hotuba za Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Kagera

    Wakati wote wa Vita vya Kagera Mwalimu Nyerere alikuwa anatoa hotuba kila baada ya muda fulani ili kuwajulisha wananchi maendeleo ya vita. Hotuba zote zimewekwa kwenye kakitabu haka. Kitabu unaweza kukisoma ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore. Hotuba No 1 2, Novemba, 1978. Ndugu...
  5. Rais Samia haamini kabisa falsafa za Nyerere

    Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana nguvu kuliko hata mkuu wa majeshi huyu generali wa mchongo.
  6. M

    PostGE2025 Ya Rais Samia ndio ya Nyerere wakati wa kupigania Uhuru kwa waislam

    Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya. Ndio hivi sasa, waislam wapo front kulinda tz huku wengine wakiwa wamejificha
  7. R

    PostGE2025 Yericko Nyerere: Umoja wa Ulaya ni watuhumiwa vurugu za Oktoba 29

    Siyo muda huyu jamaa anapewa kitengo maana Samia anawapenda sana wapambee :BBRUHH: -------------- Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mwandishi wa vitabu, Yericko Nyerere, ameituhumu Jumuiya ya Ulaya (EU) akiitaja kuwa sehemu ya wanaopaswa kuchunguzwa kuhusu matukio yaliyotokea...
  8. Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)

    Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)
  9. Nyerere hakupigania uhuru, ulikuwa ni wakati wa uhuru umewadia tu

    Wameibuka watu waongo ati wao ndo walimwaga damu ili Tanganyika upate uhuru Uhuru wetu haukupiganiwa na yeyote msijipe umuhimu wa bure Suala la uhuru lilikuwa na suala la muda wa uhuru hata Nyerere angekaa kimya uhuru tungepata tu, hadi Leo hakuna nchi ambayo ni koloni la mzungu Kutoa Uhuru...
  10. Nyerere alitabiri kuwa dunia ya sasa tutashuhudia vita vya nchi kwa nchi kupungua na kuongezeka mapinduzi na vita vya wenyewe kwa wenyewe

    Kuna hotuba moja ambayo Mwalimu Nyerere aliwahi kuitoa akasema mabadiliko ya siasa za dunia na usalama wake unamaanisha kuwa vita vya nchi kwa nchi hasa zile kubwa vitapungua sana hadi kuisha kabisa. Aliongelea hayo katika muktadha wa kuwepo kwa wamiliki wengi wa silaha za nyuklia. Nyerere...
  11. M

    KUMBUKIZI: Nyerere na umuhimu wa kuwa na watu “Radicals” ndani ya Afrika

    Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake. Vizazi vipya vitataka mabadiliko kwa sauti, kwa ujasiri, na bila kuomba ruhusa. Wananchi wanaposimama, si...
  12. LIVE Yanayojiri Kutoka Ukumbi wa Nyerere

    Hapa tutapeana yanayojiri ukumbini Nini matarajio yako? Viongozi wa dini wafanya sala za ufunguzi akiwemo Mwamposa Mkuu wa Mkoa anatoa salamu na kutambulisha wageni Mwenyekiti wa wazee wa Dasalamu anaongea utumbo hadi AIBU Anarudia porojo zilezile za Mwigulu kuhusu miundombinu kuharibika
  13. Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  14. Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  15. M

    Je tumefikishwa hapa na dhambi ya Ubaguzi ya JK Nyerere?

    Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola. Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama...
  16. T

    Nauhakika Nyerere angekua yu hai, lazima angetekwa katika utawala huu

    Kwa jinsi mambo yalivyo utawala huu, Nyerere amgekuwepo na zile hotuba zake, nina uhakika wanamtandao wasingemuacha. Hawa watu hawacheki na yoyote
  17. Unabii wa nyerere utabiri wa shehe Yahaya anguko la CCM na udhaifu wa Samia katika utimilifu wa nyakati

    Nyerere alitoa UNABII huu Kwa usahihi kabisa namnukuu. Chama kisichosikiliza maoni ya wananchi kitalia machozi kisipate mtu wa kuyafuta. UNABII umetimia. Haya yanayoendelea ni matokeo ya ccm kutosikiliza maoni ya wananchi watu walitekwa nchi nzima tulipiga kelele sana humu mkashupaza shingo...
  18. B

    Serikali ya Chama cha Mwalimu, Chama cha ukombozi wa Afrika, Chama cha kijamaa, leo imeshtakiwa ICC. Julius Nyerere anabingirika kaburini

    ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA. Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi. Yeye anasema akasukuma...
  19. M

    Jeshi letu enzi za Nyerere

    Enzi ya Nyerere, tulikuwa na jeshi imara, jeshi la kujivunia. Tulisaidia kuzikomboa nchi za kusini mwa bara letu zilizokuwa zinatawaliwa na wakoloni na wabaguzi wa rangi. Nchi hizo hazikuwa ni Mozambique, Zimbabwe Angola, na Namibia tu. Tulisaidia hata Afrika Kusini, the citadel of white...
  20. 4

    Wenye uwezo wa kuaplod nimbo ya Dr Remmy ya Nyerere naomba waweke hapa mie ni nimendwa kuna ma madini Mle

    Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje? Ni baadhi ya maneno yapo kwenye wimbo ule ,tafadhari ,wenye uwezo kuuleta winbo husika ebu fanya hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…