nyekundu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kuzidi kiwango Chembe hai nyekundu za danu

    Wanajamvi mzazi wangu anaumwa amefanya vipimo imeonyesha chambe hai nyekundu za damu zimezidi. Daktari wake anasema chanzo hakijulikani kwa hiyo hata matibabu sahihi imekuwa ngumu. Naombeni mwenye uelewa na hili eneo anishauri mzazi wangu apate tiba gani akae sawa.
  2. KWELI Bahari ya Galilaya yageuka Nyekundu kama damu

    Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Instagram Likieleza Kuwa Bahari Ya Galilaya Imegeuka Nyekundu Kama Damu Chapisho Hilo Limechapishwa Kwenye Ukurasa Wa Global Tv Online's Nimeona Nilete hapa Kwa Ajili ya Verification
  3. Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  4. Polepole alishaona "He is Going Nowhere", hivyo bora ajipe kadi nyekundu lakini itakayoacha madhara kwa golikipa.

    Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team". Bashiru nje❌ Majaliwa nje❌ Ndugai nje❌ Mpango nje❌ Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region! Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu...
  5. B

    Nyama ya bata ni nyama nyekundu au nyeupe?

    Vipi kuhusu faida zake za kiafya ukiachilia hizi za kwenye google. Mzoefu wa nyama ya bata please funguka
  6. Je wajua Ireland wana festival ya watu wenye nywele nyekundu?

    Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
  7. Borussia Dortmund kama Yanga, wapata mdhamini mpya lakini hawataki rangi nyekundu ya mdhamini huyo

    Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone. Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu. Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na kuwataka watumie rangi ya njano kama ilivyo jezi yao. Ikumbukwe rangi nyekundu waliogomea Dortmund huwa...
  8. NAIONA SIMBA IKIPAATA KADI NYEKUNDU AMA IKIADHIBIWA PENALTY WACHAGUE KATI YA HAYO

    SIWATISHI HALI YA SASA ILIYOPO VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA WA MKAPA HALI YA SOUTH SIO RAFIKI KWAO KUANZIA CHAMA NK WAMEJIPANGA HII TIMU KUPITA KWENDQ...
  9. Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  10. Ndege ya kivita ya Marekani yadunguliwa kwenye Bahari Nyekundu

    Ndege ya kivita ya Marekani imedunguliwa katika Bahari Nyekundu kwenye tukio linaloonekana kuwa "ufyatuaji wa silaha uliotokea upande wao", jeshi la Marekani limesema. Wafanyakazi wote wa Jeshi la Wanamaji la Marekani F/A-18 Hornet walitolewa nje wakiwa salama, huku mmoja akiuguza majeraha...
  11. L

    CHADEMA badilisheni bendera ya chama chenu, rangi nyekundu ni ishara kuwa mnataka nchi kwa kumwaga damu, hamtafanikiwa hadi siku ya kiama

    Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
  12. Maneno ya mchezaji İlkay Gundogan kuhusu kadi nyekundu ya mapema ya mchezaji mwenzake Araujo

    "This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began. "I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
  13. Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

    Aisee! Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER". (Picha nimetumiwa tu baadae)! Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano. Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L. Tutafute hela
  14. Toyota cup, Kumbe Yanga inaweza kuvaa logo nyekundu bila kupata mikosi.

    Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
  15. Kipi kilichowavutia yanga kumsajili mchezaji huyu huku akiwa na rekodi mbaya ya kadi nyekundu?

    Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
  16. M

    Kuungana kwa Kagame na Ruto, taa nyekundu imetuwakia Tanzania

    Rais Ruto na Rais Kagame, wameungana na Kwa sasa Tanzania imebakia kibogoyo sio bandari Wala makongamano ya kimataifa. Kwa sasa mizigo ya eastern DRC inapitia Mombasa, Burundi nao wengi wameenda Mombasa, Rwanda kwa sasa anapitia mombasa. Hao wote wanadai bora wakatembee umbali mrefu lakini...
  17. Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
  18. M

    Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

    VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
  19. Mageti ya uwanja wa Mkapa kuwa na rangi nyekundu ni makusudi?

    Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo? Kama MZALENDO wa nchi nataka kuona yale mageti yanapewa rangi neutral ili kuepusha mgongano USHINDI KWA YANGA LEO LAZIMA.
  20. R

    CHADEMA ondoeni pembe mbili na RANGI nyekundu katika bendera yenu, mtafanikiwa

    Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo. Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…