Salaam!
Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,
Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa...