Wakati wa apartheid wazungu wa ak walikuwa na nuclear bomb, waafrika walivyoingia moja ya masharti walipewa ni kubomoa nuclear weapons kabla ya apartheid kuisha, nelson mandela akakubali akapewa uraisi na mwishowe kujengewa sanamu london na nobel prize juu, leo hii ak wanahangaika na umeme na...