The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Wakuu,
Nimeona Nchimbi ameenda kukutana na mabalozi wa EU. Je hii ina maana kwamba watakuwa wameenda kuzungumzia masuala ya kisiasa nchini na kuhusu No Reforms No Election?
Hapa sidhani kama wameenda kuzungumzia mambo ya kiuchumi maana wangemuita Jafo. Ila kama wamemuita Nchimbi maana yake ni...
Wakuu
Mnaoamini kuwa hii kauli mbinu imeisha wakati au utamu mjue kabisa hii ngoma inazidi kupenya katika matukio mbalimbali yanayofanyika katika jamii tazama hii video huko mbeya watu wapo harusini lakini kauli ipo pale pale.
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
https://www.youtube.com/watch?v=Y-Q-tR8W20U
Tundu Lissu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili kesi ya...
Wenyewe wanajinasibu kuwa oktoba ni kutiki tu na wala sio kuchagua.
Hii nini maana yake? Wana matokeo yote ya uchaguzi kuanzia rais, mbunge hadi diwani. Zoezi lililobakia ni kutiki tu.
Chadema ya Lissu ipo sahihi kabisa.
Akiwa anawaapisha Wakuu Wapya wa Mikoa Ikulu Dodoma, Rais Samia kawasifia kuwa wengi wao wamelelewa tangu chini na Chama cha Mapinduzi na kwa sababu mwaka huu ni wa Uchaguzi wakahakikishe wanasimamia Uchaguzi vilivyo na kuwadhibiti vilivyo Wapinzani.
Hakuishia hapo katoa Maelekezo maalum kwa...
Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia. Bunge hilo litavunjwa rasmi Agosti 03, 2025 litakapokamilisha kipindi chake kikatiba. Baada ya hatua hiyo itafungua rasmi dirisha la kuelekea uchaguzi...
Juzi kwenye kongamano la Wanawake Arusha aliyekuwa Spika wa Bunge kasema haya;
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Samia alisema haya;
Sidhani kama hapa duniani kuna nchi ambayo Wananchi wanadharauliwa na kikundi kidogo cha watu wachache wanaoitwa Viongozi...
Ndugu zangu, nimekaa na kutafakari, nikaona hebu tujadili pamoja suala hili la uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumbukumbu tulizonazo tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, na uchaguzi wake wa kwanza mwaka 1995 pamoja na mapungufu yake makubwa.
Kuna kitu kinaitwa...
Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi ya kuamua nani awaongoze, ni ukiukaji wa msingi wa katiba yetu. Wananchi tusikubali kuwa sehemu ya...
Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Lazima ujiulize.
1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..?
2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..?
3. Wanaopata kuongoza ni wale...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza...
Hatupigi kura.
Nasema tena hatupigi kura..
Oiii wazee miaka 60 ya uhuru hata mmeshindwa kulinda rasilimali na kutupea manouver ya kutukomboa na kipindupindu, Umaskini, malaria na ujinga.
Kila siku wale wale ndio hukamata hatamu na keki ya taifa tumechoka.
Watoto wa maskini hawnaa kazi ila...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni...
Nina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili...
Salaam!
Nimesikia Mzee Mstaafu akidai Reforms zote muhimu zimeshafanyika.
Sasa ikiwa Reforms zimeshafanyika,
1. Je, Tundu lissu Yuko gerezani kwa kesi ya uhaini kwa tuhuma zipi?
2. Anashtakiwa uhaini juu ya Nini? Alitamka Nini au alishinikiza Nini na kumfanya awe jella?
3. Na ikiwa kweli...
1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani
2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi
3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali
4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...