The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Sasa tumeanza kwa vitendo wananchi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walioenda shule halafu mnawanyima kazi na kuwapa kazi machawa!!.
Tutawachakaza nyie mna...
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam
CHADEMA YAPATA BALOZI
Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo...
Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama.
Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
https://youtu.be/jRUxerN3pq8?si=Ee2_5SrEbZWuZxhW
John Heche akiwa kwao Tarime aongea kwa uchungu sana kuhusu mabadiliko ndani ya Tanzania. Msikilize hadi mwisho. Ni zaidi ya Mpigania Uhuru enzi za Wakolone.
Ni mara chache sana huwa naandika kuhusu Siasa,na niweke wazi huu ni mtazamo wangu kama ambavyo nawe unaweza kuwa na mtazamo wako
Binafsi naona hii movement ingesubiri kwanza kwasababu moja kubwa,ni hivi majuzi tu Mheshimiwa Tundu Lissu ndio amechukua madaraka ya Uenyekiti wa Chama cha...
One defense strategy that our bodies have evolved is programmed cell death. In this process, cells in our bodies once infected say with a virus or sustained irreparable damage, they commit themselves to and initiate self-killing process called apoptosis. It is a marvelous evolution that ensure...
Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100.
No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali za Mitaa 2024. Uchaguzi wa 2024 ungeenda vizuri pasingekuwepo na No Reform No Election.
Mtu...
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zilizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na...
Sisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!".
kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi hatutaingia kabisa kwenye mtego unaoitwa ndoa!.
bila hivi vitu kufanyiwa marekebisho basi hakuna ndoa...
PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA
Rais: Tundu Lissu
Makamu wa Rais: John Mnyika
Waziri Mkuu: Heche
Waziri wa Michezo: Sugu
Naibu Waziri wa Michezo: ( )
Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. )
Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( )
Mkurugenzi wa...
Ujumbe WA Mwl JK Nyerere juu ya watu wasiopenda mabadiliko , sasa sijui sisiemu hawapendi Mabadiliko au ni Vyama Vingine au ndio njia ya kumuenzi Nyerere
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)
Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.
Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.
Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇
1. Poor leadership...
Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects.
Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇
" To every action there is an equal and opposite reaction ".
Na hii ndio wasomi wa...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi za kisiasa zinazohusiana na haki, usawa, na uendeshaji wa chaguzi.
Kauli mbiu “Bila CHADEMA hakuna uchaguzi” na “No reform, no election” imekuwa wito wa wafuasi wa demokrasia wakitaka mabadiliko ya kweli katika mfumo wa...
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
haki
haki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
noreformnoreformno elections
tanzania
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.