no reform

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    PreGE2025 Rais Samia elewa No reform maana yake ni damu za Watanzania

    Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako. Ni...
  2. Doctor Mama Amon

    Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  3. K

    PreGE2025 Anayeona NO REFORM NO ELECTION haina maana kwake mlango uko wazi kwenda vyama vingine

    No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao. Ndugu zangu tumbo ni mbaya sana. Wengi pale CHADEMA wako kwa nafasi ya matumbo yao na siyo kuitetea...
  4. H

    Jimboni Ruangwa, Kwa Majaliwa, Wananchi Waunga Mkono NO REFORM NO ELECTION

    Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge. Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
  5. kipara kipya

    No reform No election mipaka ifungwe asikimbie mtu nje ya nchi wote wahesabiwe hapa hapa kama Mbowe...

    Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta...
  6. Upekuzi101

    PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

    G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani. Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi...
  7. Lord Denning

    No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  8. Tlaatlaah

    NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  9. Upekuzi101

    No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  11. K

    PreGE2025 CCM tujipange naona vijana wameamua agenda yao ni 'No Reforms, No Election'

    Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
  12. UHURUWANGU

    Tunaunga mkono CHADEMA katika kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION

    🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote. 🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥 Tuwaunge mkono...
  13. Gabeji

    Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  14. DustBin

    PreGE2025 No Reform No Election (NORENE) kuwasilishwa kwa lugha ajinabi ni kikwazo

    Habarini wakuu Suala la Chadema kuja na kauli mbiu ya No Reform No Election (NORENE) imetafrisiwa na wananchi wadadisi wa mambo kuwa Chadema wamekujanayo kutoka ng'ambo, mbaya zaidi wamesahau hata kubadilisha na kuiweka kwenye lugha mama. Kuna kitu kimoja ambacho Chadema hujikwaa (technical...
  15. matunduizi

    No Reform no Election ni kama njia ya kuwapa ushindi mkubwa CCM

    Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki. Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Je, ni kweli watia nia za Urais, ubunge na udiwani wa CHADEMA uchaguzi mkuu hawaielewi No reform No reform, hata waitwe makao makuu?

    Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform no elections isiyo na tija wala faida kwao? Kulikoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October, CHADEMA...
  17. UHURUWANGU

    Ijue Ratiba Rasmi ya Kampeni ya CHADEMA: NO REFORM, NO ELECTION 2025

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii, inayojulikana kama "No Reform, No Election", inalenga kuhamasisha Watanzania juu ya umuhimu wa kupata Katiba...
  18. Emanueli misalaba

    PreGE2025 Msimamo wa CHADEMA wa “No reform, no election”, nani yuko nyuma yao anayewapa ujasiri na kusonga mbele?

    Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema. Wahenga walisema "kuuliza si ujinga" Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani? Je nani yuko nyuma yao...
  19. Beira Boy

    Paschal mayala NO REFORM NO ELECTION imeanza kukaa kwenye mioyo ya watu, watahadharishe huko juu hao ndugu zako

    Amani iwe kwenu wapendwa Kadili siku na mda unavyozidi kusonga naona kama watu moshi wa no reform no election una Anza kuwaingia kichwani Pascal Mayalla wasanue wenzio huko wambie kibanda kinafuka Moshi SAYUNI BOY
  20. PendoLyimo

    No Reform No Election imekuaje tena

    No Reform No Election yapoteza mwelekeo Rukwa Licha ya idadi ndogo ya wananchi wanaohudhiria katika mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kihoja kingine ni kwamba baada ya viongozi kuona idadi ya wanaohudhuria ni watoto wadogo wamelazimika kuwaimbisha nyimbo za watoto. Hilo...
Back
Top Bottom