no reform

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Jamani hii chukua chukua form imezima kabisa sauti za no reform no election?

    Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita. Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form. Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga...
  2. technically

    Jumatano twendeni na mabango ya no reform no Election

    Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!!
  3. Mkoba wa Mama

    1. No reform no election 2. Octoba tunatiki

    Usiandike kingeni chochote zaidi ya namba moja au mbili kadri ya mtazamo wako, kama huwezi kuandika namba, basi andika maneno yaliyopo aidha kwenye namba moja au mbili. Usiandike namba zote kwa wakati moja, chagua namba moja tu. NB: kama huwezi kufuata utaratibu, pita kama vile hujaona...
  4. Kimbesa11

    Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya No reform no sijui nini, mnabakia na nini? Au mtabaki na tone tone?

    CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa. Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it...
  5. sinza pazuri

    Comments za no reform no election zimeyeyuka mapema mitandaoni

    Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election. Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza...
  6. Dalton elijah

    ''No Reforms No Election'' Kwa lugha tofauti Dunian

    1. Kiswahili – Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi 💪 2. Kifaransa – Pas de réforme, pas d’élection 💪 3. Kihispania – Sin reforma, no hay elección 💪 4. Kijerumani – Keine Reform, keine Wahl 💪 5. Kireno – Sem reforma, sem eleição 💪 6. Kiarabu – لا إصلاح، لا انتخابات 💪 7. Kichina (Mandarin) –...
  7. Komeo Lachuma

    PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
  8. Mhaiki2022

    Sarakasi za Yanga na no reform no election

    Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema. Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.
  9. Upekuzi101

    Sasa ni wakati mzuri kwa vyama vingine vya upinzani kuunga mkono NO REFORMS NO ELECTION ili kukaa katika upande sahihi wa historia

    SASA nadhani wote tunashuhudia namna siasa za Tanzania zinavoanza kuchukua sura mpya baada ya matukio kadhaa kutokea ndani ya siku chache zilizopita. Tumeshuhudia zomea zomea kwa viongozi waziwazi kuonyesha ni namna gani watu wapo serious wakati huu. Kizazi kilichopo kwa sasa asilimia kubwa ni...
  10. Tlaatlaah

    Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  11. K

    No reform no election imeshafanikiwa👍

    Lengo la No reform no election sio watu wachukuwa mawe na kupiga polisi. Lengo kubwa ni kuleta mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Kama watalazimisha ni kukakikisha kwa Watanzania wengi wasishiriki uchaguzi na kufanya zoezi zina hata kama ni la kulazimisha lionekana mbele ya watanzania ni...
  12. R

    Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

    Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo 1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara...
  13. Fbn

    Wanapinga “No Reform, No Election” kwa sababu mabadiliko ya kweli yanaondoa mazingira wanayoyadhibiti, yanafungua uwanja wa ushindani wa haki

    Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi. Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa kauli hiyo, mara nyingi huwa na hoja kwamba mazingira ya sasa ya uchaguzi hayatoi usawa, haki, wala...
  14. 888I

    No reform No Election mitandaoni

    Nimejaribu kupitia comments katika mtandao wa Instagram nimeona kwenye kila post za watu maarufu na vyombo vya habari mbalimbali huwezi kukosa comment ya #NoReformNoElection najiuliza kwanini ? 🤔 Ni kweli wananchi wameelewa Hiyo kampeni ? Ni kweli watu hawatashuiriki Uchaguzi Mkuu? Tume huru...
  15. technically

    PreGE2025 No reform no Election ni agano itakula kila mchwa anayeikataa

    Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!! Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa. Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election...
  16. Z

    Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  17. M

    Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  18. technically

    Je Gwajima katumwa kuzima ajenda ya NO REFORM NO ELECTION?

    Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election. Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election. Kwanini anavitetea...
  19. matunduizi

    PreGE2025 Maono:" NO REFORM NO ELECTION" Tumeshawaelewa, CHADEMA mkiingia kwenye UCHAGUZI huu baada ya hii presha mnayotoa 2030 mtachukua Dola

    Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi. Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli. Sasa ili kazi imaliziwe vizuri, na watu wameshaona. Sasa mtumie uchaguzi huu ujao kukusanya data za KWA...
  20. Roving Journalist

    PreGE2025 John Heche Anaunguruma Mbivu na Mbichi za No Reform No Election Kujulikana Leo Mei 23, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Qu4cAxaw5JU
Back
Top Bottom