njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatua tano (5) za kuchagua njia sahihi za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo

    Somo kuhusu kuchagua njia za kutengeneza fedha kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni somo muhimu sana kwa yeyote anayewekeza kwenye uwekezaji huu. Rafiki yangu ukianza vibaya kuwekeza kwenye ardhi na majengo utashindwa kukuza uwekezaji wako kwa haraka kwa kutumia viwanja na majengo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri jinsi ya kuboresha anwani za makazi ili kuleta tija zaidi

    Kuwa na utaratibu wa anwani ya makazi ni jambo jema lakini maboresho makubwa yanahitajika. Faida kubwa ya kuwa na anwani ya makazi ni kujulikana kwa sehemu au eneo, mtaa mtu anapoishi ili kufika kwa urahisi bila kuelekezwa na mtu. Hapa Mwanza katika Wilaya ya Nyamagagana tayari utaratibu huu...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  4. JamiiForums Tanzania Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Habari za muda wakuu. Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka. iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
  6. JamiiForums Tanzania Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters). KARIBUNI KWA MSAADA
  7. JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

    Ndugu zangu kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu. Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Cuba imeonesha njia. Afrika tuone aibu

    Hii nchi ya Cuba ambayo ina vikwazo kiasi kwamba magari yao mengi ni yale ya kabla ya vikwazo miaka ya 1950’s mpaka sasa wana dose mbili ambazo karibu zitapata uhakiki wa WHO na tayari zina kinga kwa 90% Corona. Nchi hii ina watu milioni 11 tu chini hata ya Rwanda! Ni kisiwa…… Sasa sisi na...
  10. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi tumepotea njia? Tunanunua ndege kwa Cash halafu tunakopa pesa kujenga vyoo vya shule na madarasa

    Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango? Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi? Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za...
  12. JamiiForums Tanzania Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

    Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu. Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa nini Ndugai hatakaukiwa na tabasamu njia nzima kwenda Bank

    Why Job Ndugai will still smile all the way to the bank thecitizen.co.tz Jan 7, 2022 12:00 PM Even though the Speaker of Tanzania's National Assembly, Job Ndugai, has unceremoniously resigned from his post, he will still enjoy most of the pecuniary and other benefits he was accustomed to while...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Njia ya PPP yaweza kusaidia pia kwendeleza miradi nchini

    Wana JF nimejaribu kuwaza hivi kwanini nchi yetu haitumii sana njia ya PPP- Public Private Partnership katika kuanzisha miradi ya maendeleo nchini? Njia hii naona inakuwa na unafuu sana maana sio mkopo bali ni ubia kati ya serikali na mwekezaji wa mradi. Mwekezaji analeta pesa yote ya mradi na...
  15. JamiiForums Tanzania Ijue Aquamation, Archbishop Desmond Tutu's aliomba achomwe kwa njia hii badala ya moto

    Archbishop Desmond Tutu amepumzishwa kwa amani kwenye makao yake ya milele mjoni Cape Town baada ya kufanyiwa taratibu zote za kuuaga mwili wake kwa heshima za kiserikali na kidini ambapo kukafanyika shughuli nyingine ndogo nyuma ya mimbari aliyokuwa akiitumia kukemea na kuupinga vibaya utawala...
  16. JamiiForums Tanzania ILINICHUKUA MIAKA MIWILI NA AJALI YA MTOTO 1 KUWA MZOEFU WA NJIA YA KUCHOMOA KABLA KUMWAGA

    Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi nimuoe baada ya kumpa mimba.
  17. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

    Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

    Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi. Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana...
  19. JamiiForums Tanzania Ukomavu wa kisiasa; Wakati Kenya wanaonesha njia, Tanzania kama wafanyavyo mbuni, tumezika vichwa mchangani

    Siku hizi nashindwa hata kuingia JF kwani kwa sasa hili jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro. Hata hivyo hili tukio huko kwa jirani zetu limenizindua kutoka usingizi mzito. Kuna wakati taifa letu lilikuwa la kupigiwa mfano na hata sisi wananchi wake tulitembea vifua mbele bila soni wala aibu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

    Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano. Ni wazi kuwa kwenye jambo hili nyeti kuna wenye maslahi yao binafsi ndani ya mchakato unaoendelea. Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…