Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...