nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwabukusi aishauri serikali kutokimbizana na makala za nje

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kuwa mjadala unaoendelea kuhusu makala za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) haupaswi kuwa kipaumbele cha serikali, kwani maudhui yaliyoandikwa na chombo hicho ni kidogo sana ikilinganishwa na ukubwa wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  4. JamiiForums Tanzania BSS mmehujumu uchumi wa nchi kupeleka mil.50 nje ya Nchi.

    Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi. Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo ingekwenda kuchechemua uchumi wake, familia yake na Jamii yake si Uzalendo mliofanya. Kama Mtu ana...
  5. JamiiForums Tanzania Nawaambia wadada kuwa njia pekee ya kumtunza bwana ako, kumfurahisha na kumzuia kutoka nje ni kuwa malaya kitandani.

    Kuwa class nje Kuwa mrs mtaani Ila unapokuja kitandani weka pembeni mambo ya kuwa descent YAaani tingisha makebo zaidi ya wale wadada kwenye porno, lia kama mtoto, ikalia huku ukilala, igeukia kwa nyuma huku ukigeuka ukimwangalia machoni mwake. Nakuambia hivi, mme wako atakuwa anarudi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  7. JamiiForums Tanzania Toka nje ya kundi: Wewe ndiye wa kujipatia ukitakacho

    Siyo Serikali, Dini, Elimu au Jamii vitakavyoweza kukupa kile unachotaka haswaa. Toka nje ya kundi, wewe ndiye wa kujipa kile unachokitaka. Toka nje ya halaiki, jitafute na ujipe kilicho chako. Hakuna njia rahisi zaidi ya kutoka katika kundi licha ya ukweli kuwa mizizi ya makundi imejiimarisha...
  8. JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majibu ya Diaspora wengi wa kibongo ukawaambia unataka kuja nje 👇👇

    Moja kwa moja.... #UziTayari
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisasa ya kupumbaza umma kisiasa—sura ya nje dhidi ya ukweli halisi nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital. Kwa mtazamaji...
  11. JamiiForums Tanzania Unapoona JWTZ wanatoa angalizo ujue wazi kuwa waandaaji wa maandamano ni Mataifa ya nje!

    Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana. Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia???? Toka enzi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa zikitoka mfano DR Congo zinarudi bila mzigo zikifika Tanzania zikiwa zinarudi Dar zinapakia mzigo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Fake life kwa wanaoishi nchi za nje wakiaminisha washafanikiwa

    Kuna watu wakishafika kwenye miundo mbinu mizuri wanaona wamefika kwenye mti wa pesa na mafanikio teyari. Mfano hawa vijana wanaokataa kuuza mitumba na kutembeza sigara Tanzania wanakimbilia South Africa kwenda kushinda nje kuuza sweet. Mwaka jana kuna jamaa yangu anaishi USA sitapenda kutaja...
  15. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  16. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi. Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Kama uko nje ya mji, eneo ambalo mji unajengeka, Fanya biashara ya kukodisha mbao

    Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta, Majukwaa Kwa ajili ya kujengea, Fox, Mapipa ya kuwekea maji Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu. Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward. This moment...
  19. JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani...🙏🏻🙏

    🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨 Na Tausi Likokola, Washington DC - USA We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now...
  20. JamiiForums Tanzania Nimepishana na Nissan Leaf zinasafirishwa kwenda nje (IT). Hawa jamaa watatoboa kweli ata Moro tu?

    Leo Nimepishana na Nissan Leaf 2nd gen tatu, mitaa ya Mbezi Magufuli (Morogoro Rd). Zote IT zinasafirishwa labda Malawi, Congo, Burundi nk ambako umbali ni zaidi ya 1000 km kutokea Dar. Sasa hivi vidude battery ndogo 40 kWh, vina range ya 240 km, ikiwa mpya na zile Leaf Plus zina battery ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…