Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..).
MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...