njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  2. JamiiForums Tanzania Tuna Viongozi wenye njaa kali ndo maana wakiingia madarakani wanaanza kujibrand kwanza

    📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali. Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake. VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Njaa Tanzania imewapa wapinzani agenda ya mikutano ya hadhara

    Mwenye njaa ni rahisi kurubunika na kusukumwa kufanya lolote ilhali mwenye shibe hupuuzia hata mambo yenye mustakabali wa maisha yake. Zipo nchi nyingi duniani ambazo zimeingia kwenye historia ya machafuko mabaya kuwahi kuwakumba; kufuatia njaa:- 1. Flour War (Vita ya Unga) ya mwaka 1775...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  5. JamiiForums Tanzania CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mpina, thibitisha uchungu wako kwa taifa kwa kurejesha ekari elfu moja (1000) ulizodhulumu wanakijiji mkoani Morogoro, hawana pa kulima, wanakufa njaa

    Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro. Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima. Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Kuzaana sana kwa Tumbili ndiyo kusababishe Njaa itakayokuja Jimboni Vunjo Mkoani Kilimanjaro?

    Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana...
  9. JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia mlioko JamiiForums kwanini ukiwa na Hela husikii Njaa ila ukiwa huna Njaa itakuandama sana?

    Nimeambiwa ni tokeo la Kisaikolojia hivyo nami GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni ( Comments ) zenu nielimike zaidi na ikiwezekana hata Nishibe kabisa kwani hapa nina Njaa hatari.
  10. JamiiForums Tanzania Kazi za ovyo kwenye nchi hii

    Assalaam aleykum, Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana. 1. ASKARI...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

    Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
  12. JamiiForums Tanzania Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

    Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei. Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Laana ya vifaranga: Tutarajie mapigo kama mafuriko, ukame, njaa, tetemeko, n.k kama sio wahusika wenyewe kupata pigo la moja kwa moja

    Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja. Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Papa Francis alaani njaa ya mali, madaraka vinaharibu Dunia

    Akitoa salamu zake wakati wa kusherekea Sikukuu ya Krisimasi amesema hali hiyo ndiyo inachafua Dunia, kicha ya kutotaja kwa majina lakini inaaminika alikuwa akizungumia vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine. "Matukio ya vita ni mengi, waathirika wakubwa ni wanyonge na walio katika...
  15. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunategemea mashamba ya Serikali, wengi tungekufa njaa

    Ndugu zangu, Kila leo najaribu kutafakari mustakabali wa taifa hili na mienendo ya taasisi mbalimbali za Serikali na utendaji wake. Ni jambo la kusikitisha, kutisha na kustaajabisha na ukosefu wa ubunifu, na utendaji duni wa taasisi nyingi. Umeme ni kitendawili, hili najua wengi mmeliongelea...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Kenya kujitolea Mishahara yao ya Mwezi 1 kwa waathiriwa wa Njaa

    Taarifa kutoka Ofisi ya Rais imesema, Baraza la Mawaziri limekubali kuwa fedha zao za malipo ya mwezi mmoja, zitachangia katika hatua za serikali kusaidia Wakenya wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame Pia ilibainisha kutokubaliana na bei za juu za mahindi hivyo kuahidi msaada wa soko kwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna sababu ya kulalamika njaa

    Rais Samia Suluhu anaendelea kututoa hofu watanzania katika suala zima la njaa alisema kuwa watanzania hatuna sababu yoyote ya kulia njaa. "Nataka niwahimize tulime kwa sababu miaka ijayo Dunia inaona hatari ya njaa, Tanzania hatuna sababu ya kulia njaa na ndiyo maana tunaweka miundombinu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

    Friends and Our Enemies, Kuna msemo wa wanazuoni unaosema kwamba chochote kinamchomfaa mamba Kwa kuliwa either kiwe kimetumbukia mtoni au kimekaa kihasara hasara kwenye kingo za mto mamba hatafanya ajizi,atakifanya kuwa ni chakula tuh. Nimebahatika kuwa ni miongoni ambao nimepata kumshuhudia...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Rais wa wanyonge sasa siyo yule anajisifu tu wakati wanyonge wanakufa njaa au kutekwa

    Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya asema "Mkulima atakayekabiliwa na njaa kupelekwa mahakamani"

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi chakula waliyopewa wakati wa msimu wa mavuno. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa msimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…