Heshima kwenu wakuu.
Wiki iliyopita niliamua kuifanyia nissan dualis majaribio ya mbio barabarani.( nilikua natafuta ligi kwa udi na uvumba)
Nilitenga hela ya faini 150,000.00 kwa safari ya kutoka Dsm to Singida. Ilipigwa 100,000 nikabaki na 50,000.
Nilianza ligi na Vanguard, crown, subaru...