nissan

  1. Nissan Dualis vs Nissan Qashqai

    Habarini wakuu. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu. Naongelea Qashqai vs Dualis. Kuna tofauti yoyote kati ya hizi gari mbili? Kuna jamaa aliwahi kuniambia kwamba Nissan Qashqai...
  2. Nissan fuga inauzwa very cheap. Low mileage

    NISSAN FUGA 🚘 ✔️PRICE 7 MIL ✔️YEAR 2004 ✔️CC 2490 ✔️COLOUR PEARLY WHITE ✔️LOW MILAGE ✔️FULL AC ✔️FULL DOCUMENT ✔️GARI MKWAJU SANA HAINA TATIZO LOLOTE ✔️LOCATION DSM, BUNJU CALL +255 734 766 126
  3. Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  4. Ni upi ubora na changamoto za Nissan Teana?

    Kwa wazoefu wa hii gari naomba mitazamo yenu. Ina ubora gani na zipi ni changamoto zake. Gari ni ya mwaka 2003 lakini sijui ukubwa wa injini.
  5. Nissan Pathfinder ipoje? SPEA?

    Wakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
  6. Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  7. T

    Ushauri kati ya Nissan X-trail Fourth Generation na Subari Foresta Fourth Generation

    Wakuu salama? Mfano mtu anataka ku experience the difference, ahame kutoka Toyota Rav 4/Harrier/Vanguard. Je kati ya hizi gari mbili ipi nzuri zaidi ama abakie tu kwa Toyota? Gari hizo ni Foresta Toleo la nne na X-trail toleo la nne. Ahsante sana
  8. Nissan Navara ipoje? Spea, Reliability, consumption?

    Mwenye kuijua Nissan Navara Double Cabin. Naona budget yangu unacheza hapo tu. Bei imenibana Siwez Kununua Hilux Double Cab, wala Amarok achilia mbali Mnyama Ford Ranger/RAPTOR. Wajuzi njooni Extrovert Isanga family raraa reree
  9. Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

    Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania. Wenu Mtiifu.
  10. Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  11. Je, ni wazo zuri kubadili gari kutoka Toyota Vanguard 2011 kwenda Nissan Extrail Third Generation ya 2016?

    Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016. Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu. Gari zote hizi hapa chini.
  12. M

    Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

    Habari ya leo wakuu, Natafuta Turbo pamoja na fuel pump ya Nissan Patrol Y61, ZD30 engine tafadhali nicheki whatsapp kama unayo, Asante. +255675308774
  13. Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  14. Car4Sale Gari inauzwa - Nissan March

    Nissan march Top speed 200 Cc 1400 Bei 5.5 million BIMA IPO HAIDAIWIII Sound option on steering Full ac na full file Gari haina changamoto yoyote ile ya ufundi Ipo dar es salaam , sinza 0784020604
  15. J

    Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

    Habari wakuu. Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C. Engine: cc1490 Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo - Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla...
  16. B

    Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  17. Car4Sale Nissan Civilian ipo sokoni

    Make: Nissan Model: Civilian Model No: RW40 Chassis No: RW40030035 Engine No: TD42093733 Engine Capacity: 4169 Number of Axles: 2 Mawasiliano Bei mil 27 0622 033 117.
  18. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  19. Car4Sale Nissan Xtrail inauzwa Dar es Salaam

    NISSAN XTRAIL🔥🔥🔥 Year 2003✅ Cc 1990✅ Full Ac✅ Android Tv✅ New Tyres✅ Sports Rim✅ 12.5MILION🔥🔥🔥 Mawasiliano 0688 986 066
  20. Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…