Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv,
Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+,
Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea.
Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations.
Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya.
Mwamba amesimama muda wote...
Kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri au kipimo cha kupima ujinga wa mtu kichwani ni kuangalia jinsi anavyoweza kuchambua jambo analoambiwa au kusikia.
Chukua simu zako mbili moja ivike uhusika mwingine, huyo mtu awe maarufu fanya kama unachati naye huyo mtu chukua screen shot weka mitandaoni.
Kwa...
NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.
Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.
Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti ,
Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa...
Ikiwa
1. Mwanaume anakupenda
2. Una uchie Mtamu/wa moto
3. Uchie wako una bana na laini
4. Mwanaume hana stress ana afya ya akili
5. Ana hisia sana na wewe
NAKUHAKIKISHIA DK 3 NYINGI SANA.NI sekunde au dakika Anashusha waarabu. Atakate asitake... Yaani ule moto wa mle ndani, utelezi na mbano...
Wakuu, mambo salama!?
Kazi ndiyo utu, hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo.
Kuna suala ambalo siku ya juzi (Jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi, na nikaamua kulidodosa kimtindo fulani. Then I realized, it is true.
Nilikuwa jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu...
Hii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma unaichukua nguo unakwenda kuijaza chumbani huivai kumbe ilikuwa NI ronyo.Nyie watengenaji wa pombe...
Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Nimekuwa nikitafakari juu ya hotuba na kauli mbalimbali za raisi wetu, ambaye ndio kiongozi wa juu kabisa nchini, na kugundua ana hasira sana. Anachukizwa hata na vitu vidogo vidogo ambavyo anapaswa kuvipuuzia na kutovijibu au kuvifanyia malumbano. Ana silka ya kumwagia petroli kwenye mambo...
Iwe kwenye MAHUSIANO
Iwe kwenye Biashara
Uwe kwenye elimu
Iwe kwenye ajira KAZI nk.
Maumivu yapo kukufanya ukomae,
Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment...
https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg
Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona .
Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.
Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.
Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba...
Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu...
Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...
Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa.
Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana.
Nimejifunza
Jinsi wanavyofanya kazi,
Jinsi wanavyotafuta Clients
Wanavotangaza huduma zao
wanavyowasilisha offer zao.
Meetings zao nyingi sana
Wanavyofanya project management wakiwa na team na hawajuani.
Wanafanya hivi 👇👇
1. Cold...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.