niger

Niger or the Niger ( or ; French: [niʒɛʁ]), officially the Republic of the Niger, is a landlocked country in West Africa named after the Niger River. Niger is bordered by Libya to the northeast, Chad to the east, Nigeria to the south, Benin to the southwest, Mali to the northwest, Burkina Faso to the southwest, and Algeria to the northwest. Niger covers a land area of almost 1,270,000 km2 (490,000 sq mi), making it the largest country in West Africa. Over 80% of its land area lies in the Sahara Desert. The country's predominantly Muslim population of about 22 million live mostly in clusters in the far south and west of the country. The capital and largest city is Niamey, located in Niger's southwest corner.
Niger is a developing country, which consistently ranks near the bottom in the United Nations' Human Development Index (HDI); it was ranked 187th of 188 countries for 2015 and 189th out of 189 countries in the 2018 and 2019 reports. Many of the non-desert portions of the country are threatened by periodic drought and desertification. The economy is concentrated around subsistence, with some export agriculture in the more fertile south, and export of raw materials, especially uranium ore. Niger faces serious challenges to development due to its landlocked position, desert terrain, inefficient agriculture, high fertility rates without birth control and resulting overpopulation, the poor educational level and poverty of its people, lack of infrastructure, poor healthcare, and environmental degradation.
Nigerien society reflects a diversity drawn from the long independent histories of its several ethnic groups and regions and their relatively short period living in a single state. Historically, what is now Niger has been on the fringes of several large states. Since independence, Nigeriens have lived under five constitutions and three periods of military rule. After the military coup in 2010, Niger became a democratic, multi-party state. A majority of the population lives in rural areas and has little access to advanced education.

View More On Wikipedia.org
  1. Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

    Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi. Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae...
  2. Mkuu wa Kikundi cha Wagner Yevgeny Prigozhin, ametoa maoni yake juu ya mzizi wa matatizo nchini Niger

    "Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu. Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
  3. Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

    Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi. Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria. Chanza: swahilitimes
  4. Serikali za Kijeshi za Mali na Niger Zapanga Kuungana Kuukabili Uvamizi wa Kijeshi wa Magharibi na ECOWAS

    Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao. Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na...
  5. Uongozi wa kijeshi nchini Niger waishutumu Ufaransa kutaka kumrejesha Rais aliyeondolewa madarakani

    Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger Jumatatu umeishutumu Ufaransa kutaka ‘kuingilia kati kijeshi’ ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’atuliwa Mohammed Bazoum, huku mivutano ikiongezeka kati ya Niger na Ufaransa, iliyokuwa mtawala wa kikoloni kwa Niger, na majirani zake. Ufaransa ilijbu mara...
  6. M

    Niger: Aanza kulia kama mtoto baada ya kuambiwa atapigwa risasi asiposema pesa za ufisadi zilipo

  7. Imebidi Marekani na Ulaya wafungashe virago Niger

    Mara tangazo la raisi Bazoum kushikiliwa na walinzi wake lilipotoka ilionekana kama ni jaribio la mapinduzi ambalo lingeshindwa.Lakini hata hivyo kiongozi wa kikundi hicho Gen Abdourahmane Tchiani ambaye mwanzoni alitoa tangazo akiwa kifua wazi alionekana kukaza kamba na kuungwa mkono na kada...
  8. Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  9. Russia’s Wagner boss appears to hail Niger coup, tout services

    A fighter of the Wagner private mercenary group is seen atop of an armoured vehicle in a street near the headquarters of the Southern Military District in the city of Rostov-on-Don, Russia Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who remains active despite leading a failed mutiny against the...
  10. Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  11. Niger: Wanaosapoti Mapinduzi wavamia ofisi ya Chama Tawala na kuchoma moto

    Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum Wakati huohuo, Urusi imeungana...
  12. Niger: Jeshi lapindua Serikali

    Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ====== Wanajeshi wa Niger wadai kumuondoa madarakani Rais Bazoum – DW – 27.07.2023 Grace Kabogo Kundi la wanajeshi wa Niger...
  13. FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Leo majira ya saa 10 alasiri Taifa stars itachuana na Niger katika mchezo wa kufuzu Afcon 2024. Tutakuwa mubashara kupitia uzi huu
  14. Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  15. S

    Yanga wafanyiwa figisu, wapewa gari bovu Nigeria

    Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
  16. Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  17. Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

    TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
  18. Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

    Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in. Algeria, Niger and Nigeria signed a...
  19. Niger vs Taifa Stars | Tufanyeje kuweza kuwafunga Jumamosi?

    Wanabodi. Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why? Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya Taifa ikiipasua Niger jumamosi hii? Samatta mechi za kirafiki ameonesha ni mzuri sana kwa assist...
  20. Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…