Ni habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena.
Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja imewarudia kwa kuwa mweupe tena.
adriz de mbusii
Taarifa ya Niffer kukamatwa na kushtakiwa kesi ya uhaini niliifurahia.
Sikuwa upande wa watanzania waliokuwa wanampazia sauti atoke, hatimaye mawazo yangu nimethibitisha yalikuwa sahihi.
Huyu dada tangu atoke amekuwa mnafiki mnafiki sana na haswa aliwakera wananchi waliokuwa wanamuombea atoke...
Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake.
Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama.
Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
The Director of Public Prosecutions (DPP) has withdrawn charges and released cosmetics entrepreneur Jenifer Jovin (26), popularly known as Niffer who had been facing treason charges.
The decision was issued today, Wednesday, December 3, 2025 by Senior Resident Magistrate Aaron Lyamuya, after...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili.
Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
Mama mzazi wa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) ameshindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya mwanae kurudishwa rumande kutokana na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuonyesha nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yanayomkabili Niffer.
Soma Pia: Niffer na wenzake wakirejeshwa rumande baada ya...
Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025.
Shauri lililokuwa linawakabili watuhumiwa hao leo lilikuwa linaendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Aaron Lyamuya, ambapo wakili...
Mnaweza mkabeza na kuchukulia Rahisi ila nawaambieni mbegu hii tunaipanda itaota vizuri sana kwa watoto wetu!
mbele huko ni kugumu sana! tunaleta mizaha kuchezea dola na mahakama! huko mbele kuna Giza nene
Mungu atasema na sisi
Mark this ujumbe
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakama
mahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhaini
uhaini wa niffer
vurugu za uchaguzi
wengine
Wanabodi
https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU
Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!.
Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
Peter Kibatala , Wakili wa Jeniffer Jovin 'Niffer' na wenzake amesema kuwa mteja wake kabla ya kusomewa mashtaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za uhaini alipigwa na kulazimishwa kutoa maelezo hivyo mahakama imeamuru watuhumiwa hao wapatiwe matibabu na ripoti ya matibabu...
Mfanyabiashara Jennifer Jovin (maarufu kama Niffer) na wenzake wamerejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuahirishwa hadi tarehe 11 Novemba 2025, huku baadhi ya watuhumiwa wengine wakitarajiwa kuendelea na mashauri yao tarehe 19 Novemba 2025.
Pia soma Niffer na wengine 97...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs!
Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani .
Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.