Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe.
Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo.
Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi.
Lakini wao wanasema direction ya nini, tuna polisi na Jeshi na Machawa. No need ya direction!
Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa!
Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako.
Amen.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.
2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8
3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki
Sasa wanataka nini?
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!
Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada:
“CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.”
Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama
Robert...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI.
Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo.
1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo:
1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu (asilia- Mbowe) na CHADEMA Tanzania iliyobaki (Lissu). Haitatokea kwa mazingira Lissu...
Nimewiwa kufikiri "detrimental sequalea" ya kupotea kwa watu na hata kuuwawa. Hili limekaaje katika kuwatisha wageni wetu na athari zake katika soko la utalii.
Kenya wamepitia magumu katika sekta ya utalii baada ya tafrani za kisiasa na mengineyo.
Tukiendelea kumsaidia mh.Rais kupambana dhidi...
Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema iliyooneshwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutaka maridhiano inapaswa kuendelezwa na vyama vyote vya...
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na...
Huku mpaka uende chuoni! Angalia watu wanaoangalia kesho ya taifa lao.
Russian high school pupils to learn how to operate drones
Russian teenagers will learn how to operate and counter military drones in the upcoming school year, according to a curriculum published Monday by the education...
Akatokea mtoto akawashangaa watu wanasema Mfalme amevaa nguo nzuri, wakati Mfalme yuko uchi wa mnyama.
Badala ya kumshukuru mtoto kuwa kaacha unafiki na kusema ukweli wa kumsitiri mfalme, wanampiga mawe kuwa kamuaibisha Mfalme.
Tatizo: TUMEZOEA KUMWONA RAIS KAMA MUNGU, AKITOKEA MTU AKASEMA...
Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden ni tamaa ya kutaka kuwa sawa na Mungu.
Licha ya Mungu aliyewaumba kuwapa kila kitu, lakini aliwapa...
Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly.
Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now.
Napendekeza Kutolewa majibu ya...
Hivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa nami GENTAMYCINE nauliza je, kutoa Msaada wa Chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.