nhc

  1. DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
  2. NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Tarehe 2 Septemba 2022, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemia Mchechu alisema yafuatayo wakati akiwakilisha mipango waliyonayo NHC kwa wadau wa Sekta ya Milki Nchini ambapo SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema hivi karibuni linatarajia kuanza ujenzi wa 'nyumba za...
  3. NHC Kijichi hizi bei

    Habari wakuu wa jukwaa, Naomba msaada wenu. Ningependa kufahamu ni vigezo gani vinavyotumika kupanga bei ya nyumba hizi. Je, bei huamuliwa kwa kuzingatia mambo kama eneo ilipo nyumba, ukubwa wa jengo, ubora wa ujenzi, huduma zilizopo, miundombinu, au kuna vigezo vingine muhimu vinavyotumika...
  4. Generator Spare parts

    Tunauza Generator Spare parts kwa upande wa Engine, Ac alternator(Kinu) and Automation( Automatic Mode). Kuna plc za Deepsea zpo mpya na Used(Refurb). Model 7320 MKI, 7320MKII, 7420MKII, 8610MKII. Pia kuna AVR ( Automatic Voltage Regulator). Lastly tuna fanya Pm ( Preventive Maintenance) and...
  5. House for sale ubungo NHC

    Nyumba nzuri ya kisasa Ipo nyumba ya ubungo plaza ubungo mtaa wa Lego NHC Ipo ndani ya geti na nafasi kubwa ya parking Nyuma na mbele Ina vyumba Viwili kimoja master bedroom Sebule kubwa Jiko Choo cha public Ac master bedroom na sebule Mfumo wa maji taka umeunganishwa baharini...
  6. N

    Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

    Habari waungwana! Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu. Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo...
  7. A

    DOKEZO Tunaomba Haki: Wapangaji wa NHC Kiwanja Na. 8/II, Uhuru, Iringa

    Ndugu Watanzania wenzangu, Kwa moyo mzito, tunaleta kwenu kilio cha wapangaji wa muda mrefu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) walioko katika Kiwanja Na. 8/II, Uhuru, Iringa. Baada ya kuishi kwa zaidi ya miaka 50 katika nyumba hizi, tumepewa notisi ya siku 90 kuanzia Machi 1, 2025, tukitakiwa...
  8. PreGE2025 Shirika la nyumba NHC kudhamini kongamano la kisiasa la kichawa la 'Nasimama na Mama' ni sawa?

    Wakuu, Taasisi ya Mwanamke na Uongozi kwa kushirikiana na wadau wengine akiwemo NHC wafanya kongamano la 'Nasimama na Mama' mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani, kama sehemu ya kusherekea siku ya mama duniani na kumuunga mkono Rais Samia. Hii imekaaje wakuu...
  9. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  10. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  11. O

    Anguko la kiwanda cha urafiki textile mill mpaka kuuzwa kwa nhc kwa tzs 3 billion

    Kampuni ya Tanzania-China Friendship Textile Company Limited (FTC), inayojulikana zaidi kama Urafiki Textile Company Ltd., ilikuwa miongoni mwa viwanda vikubwa vya nguo nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1968 kwa msaada wa Serikali ya China chini ya mpango wao wa msaada wa kiufundi...
  12. Ujumbe wa SMZ watembelea miradi mitatu ya kimkakati ya NHC jijini Dar es Salaam

    Ujumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC) umetembelea miradi mitatu ya kimkakati inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC. Ziara hiyo iliyoratibiwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanyika leo tarehe 17 Disemba 2024...
  13. Nimeridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara; mhandisi Sanga

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara hiyo linalojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Mhandisi Sanga amesema hayo Desemba 11, 2024 ambapo ameungana na Wajumbe...
  14. NHC Yapata Tuzo ya Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuonyesha ubora wake katika usimamizi wa fedha baada ya kutunukiwa tuzo ya mshindi wa tatu wa Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma kwa kufuata viwango vya kimataifa vya uandaaji wa hesabu (International Financial Reporting Standards - IFRS)...
  15. A

    KERO Kero ya upatikanaji wa maji eneo ya Iyumbu NHC na rushwa kwa ajili ya kupata maji DUWASA

    Eneo la Iyumbu NHC Dodoma limekuwa na tatizo sugu la maji kwa zaidi ya mwaka sasa, mwanzo sababu mbalimbali zilikuwa zikitolewa ikiwamo kutumia kisima kimoja cha maji na chuo cha UDOM hivyo kutokidhi mahitaji, lakini pia udogo na wakati mwingine kuharibika kwa pampu za kusukuma maji hivyo kaya...
  16. RC Chalamila: Shule ya Ubungo NHC haiuzwi, inaboreshwa

    Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kuwa Shule ya Msingi National Housing iliyopo Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es asalaam inauzwa, kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa wazazi na jamii. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika shuleni hapo kukutana na...
  17. Halmashauri Ya Ubungo yakanusha taarifa za kuuza shule ya Msingi Ubungo NHC

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuhusu kuuzwa kwa shule hiyo. Taarifa hiyo imewataka wazazi kutokuwa na hofu, kwani shule...
  18. NHC: Ujenzi wote wa Nyumba za makazi na Ofisi za Umma ziwe kazi za na mali za milele ya Tanzania National Housing Corporation

    U hali gani Tanzania ! Naomba niweke mchango wangu wa mawazo hapa Jamii Forums. Napenda kuweka wazo rasmi kwa National Housing Corporation (NHC) kuwa ipewe umakini, umuhimu na umaanani katika ujenzi wa nyumba zote za Makazi na Majengo ya Umma hapa nchini yaani isitokee Raia yoyote afanye...
  19. Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Wanajukwaa Habari, Naomba kuwekwa wazi hivi hizi nyumba za NHC kwa hapa Dar zinapatikanaje? Au wanaoishi hizi nyumba wameshazinunua au hawahami? Mwenye experience kidogo please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…