Katika siasa za Tanzania, tumeona mwendelezo wa mapambano ya mamlaka yanayofanana na tamthiliya maarufu ya Game of Thrones. Ingawa hatuna mapanga na mizinga ya kale, tuna hila, mikakati ya kisiasa, mapambano ya madaraka, na mapatano ya siri yasiyoeleweka kwa wananchi wa kawaida.
Kama ilivyo...