nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  2. JamiiForums Tanzania Leo ni Maadhimisho ya Siku ya Braille Duniani: Nguvu ya Maarifa!

    Mapitio Zawadi ya thamani zaidi kutoka kwa Mungu ni uwezo wa kuona ulimwengu huu wa kupendeza na wa kupendeza! Kwa kusikitisha, sio kila mtu ulimwenguni anayeweza kuiona. Hata hivyo, katika 1829, Louis Braille alitoa zawadi kubwa kwa jamii yake ya vipofu kwa kuvumbua nukta nundu. Kila mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
  4. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  5. JamiiForums Tanzania Ukabila una nguvu kuliko udini

    UKABILA ni ushamba na ugonjwa wa akili. Udini pia ni ushamba na ugonjwa wa akili. Sisapoti udini wala ukabila wala ukanda ila ninazungumzia uhalisia. Mwanadamu hujiona yupo so much connected na mtu wa kabila lake au rangi yake kuliko mtu anae share nae dini yake ambae sio wa kabila lake...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge unganisheni nguvu muitake Serikali iwasilishe Bungeni mchanganuo wa fedha ilizokopa nje

    HILI suala la mikopo tusipoliangalia litugawa kama Taifa, alianza Ndugai tukaona ni utani akapoteza nafasi ya Uspika, akaja kulizungumzia bungeni Luhaga Mpina naye akapoteza nafasi ya kuteuliwa kugombea nafasi ya NEC aliyoomba kupitia CCM. Akazungumza tena bungeni Oran Njeza Mbunge wa Mbeya...
  7. JamiiForums Tanzania WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

    Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
  8. JamiiForums Tanzania Toyota Innova chuma inayoingia sokoni Januari 2023 ikiwa na fuel efficiency ya nguvu

    Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei. Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza. Toyota Innova Hycross: ukipenda...
  9. JamiiForums Tanzania Aibu: UWT mbeya, jengeni jumuiya yenye nguvu sio machawa wa Mbunge

    Inasikitisha sana kwa taasisi kubwa ya chama chetu kutokemea na kusahihisha upumbavu kama anao fanya huyu naibu waziri wa maji kwa wanawake wa mkoa wa mbeya. Mimi kama miongoni wa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanawake niliitikia wito wa jana kwenda pale tughimbe kwamba tumeitwa na mbunge wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro Arusha, wananchi wazidiwa nguvu

    Wana Jamvi Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Tanzania Nimerudi kwa mara nyingine kukumbusha Mamlaka juu ya Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro kijiji kilichopo Wilaya ya Meru Mkoani Arusha. Siandiki kwa faida yangu, wala sina cha kupata isipokuwa furaha ya nafsi hasa pale haki inapotendeka kwa watu...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dua ya mwenye dhambi haina nguvu ya kushambulia

    Duniani kuna mzaha na utani mwingi sana, utakuta mtu yaani mlimwengu mzinifu, msherati,mlevi, mla rushwa, mbea, muongo, mwizi, mnafiki, mfitini, mtu wa dhuluma,muuaji. Hivi hawa watu wanapata wapi nguvu ya kusema oooh Mungu atakulipia, Mungu yupi huyo anaekuongoza kwenye hizo dhambi zako zote...
  13. JamiiForums Tanzania TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo

    Msiwasikilize wanasiasa, TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi. Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi. Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Argentina na Ufaransa kuiwakilisha nguvu ya Dunia Ulimwenguni

    Ni kama jambo jepesi lakini limebeba maana nzito ya kiulimwengu! Lengo kuu la kuiteka dunia kwa kuifanya dunia kuwaza pamoja, kwa muda mmoja na jicho la pamoja si jambo jepesi hata kidogo! Hii ni mipango ya wenye nguvu katika Ulimwengu wa roho. Asilimia 70% ya watu duniani Leo watafikilia na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Andiko hili lamfaa kila mtu. Lugha iliyotumika ni laini. Sio Kali kama nilivyozoea Kwa mada zangu nyingi. Kisayansi Miti ni moja ya viumbe hai muhimu katika Ecosystem (kutegemeana Kwa viumbe hai n mfu ili kufanya Maisha yaendelee katika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Chama cha Walimu Tanzania(CWT) atolewa kikaoni kwa nguvu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu Rais wa chama hicho, Dinah Mathaman na kumchagua mjumbe mwingine kuongoza kikao. --- Rais CWT atolewa kikaoni kwa nguvu Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Jakaya Kikwete atumie nguvu kubwa kuwatetea mawaziri waliotajwa na Chalamila?

    Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025. Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna Yoabu? Yoabu huyu hapa, ana nguvu sana

    Utangulizi: Yoabu alikuwa ni Mkuu wa Majeshi au Jemedali wa Jeshi la Israel wakati wa Mfalme Daudi. Habari za Yoabu na Mfalme Daudi utazipata kwa kina ktk Kitabu cha Biblia cha Samweli wa kwanza na Wapili, Mambo ya Nyakati wa kwanza na Wa Pili lakini pia Habari zake zinaanzia Katka kitabu cha...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  20. JamiiForums Tanzania Chips zina nguvu kuliko ugali

    Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani. Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina kilo calories(Kcal) 350. Wakati grams 100 za ugali zina kilocalories 210. Lakini hapa pia inategemea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…