Video: Nguvu za kiume kupotea rasmi April 2025

Video: Nguvu za kiume kupotea rasmi April 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,188
Reaction score
8,396
Kwa mujibu wa moja ya manibii muhimu na wakuaminika hapo daslam, ni kuwa kuanzia mwezi huu wanne wanaume wengi watapoteza nguvu za KIUME na makende kusinyaa.

Nabii ametoa wito kwa wanawake kuwavumilia waume zao sababu Hali hiyo ya ugoigoi itawakumba hata hao wanaowafikiria kwenda kuchepuka nao

 
Sawaa nabii wa mchongo ..ikiwezekanaa km mnaona wanaume tunafaidi Sanaa mtuombee uko mnakoombaga zinyofolewe kbs maana hazitakuwa na kazi km haisimamii🤔
 
Pesa ndio nguuu za kiume, huna pesa hakuna shoo ya bure siku hizi
 
Back
Top Bottom